Kwanini swahiba wake Lowassa, Msindai kaamua kurudi CCM?

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,523
33,164
Wanaukumbi.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti CCM Taifa na Mwenyekiti wa mkoa wa Singida Mgana Msindai, alihamia Chadema kumfuata swahiba wake mkubwa Lowassa, na baadaye kugombea ubunge Jimbo la Singida Mjini kupitia tiketi ya Chadema na kushindwa vibaya.

Kipi kilichomfanya kuamua kurudi CCM kitendo hicho ni kumsaliti swahiba yake mkubwa Lowassa.

2016-07-24-15-42-11-590355455.jpeg

images-33.jpeg


IMG-20160723-WA0005.jpg


Jana tena kaonekana kwenye mkutano wa CCM Mjini Dodoma.
 
Njaa tu

Hawa. ni watu wanaoishi kiujanja janja2

Pmj na kukaa miaka zaid ya 20 unakuta hana investment ya kuendeleza maisha yake
 
images-24.jpeg


Huyo bingwa wa kulia anayecheka wakati wowote naye atamkimbia Lowassa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom