Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,111
- 18,327
Ili kuingia stand ya mabasi kama pale Mbezi kwa Magufuli ni lazima ulipie na vyoo ukitaka kutumia unalipia lakini kuingia JNIA kama huna gari hulipii na hata vyoo mle ndani ni bure..
Kwa mtazamo wangu, stand za mabasi huduma kama vyoo zinatakiwa ziwe bure kwa sababu abiria akisha lipia nauli amelipa kila kitu.
Ni kuwaonea maskini kuwalipisha fedha kuingia stand, wenye mabasi ndio wanatakiwa kulipia.