Kwanini smartphone inajizima bila sababu?

vallentino86

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
532
213
Habari za kazi na majukum wadau wa JF, naomba msaada wa ufafanuzi juu ya kuzima hizi sim aina ya smartphone bila sababu mfano ukiwa unapiga picha, unafungua application, unacheza game, upo online na kadhalika. Kwa yeyote mwenye ufaham wowote naomba mchanganuo wa maelezo.

Asanteni sana.

Ni mimi mdau wa JF (vallentino86)
 
Haiwezekani ikajizima bila sababu..Kuna tatizo lazima, ipeleke kwa fundi akusaidie
 
Angalia downloads zako inaweza kuwa na virus au pia capacity ya battery yako ineanza choka.msaada wa kwanza kubali kulistore sim yako kwanza ili delete kila kitu ukiona inaendela nenda ka flash ikiendela angalia uwezo wa battery yako yan inajizima ikiwa na percent ngap ya power na ukiwasha inakuwa na percent ngap ukiona inajizima ikiwa na mfano wa 50 then ukiwasha ina 10 hapo jichange tu tafuta battery nyingine.pole ila ni tatizo dogo sna
 
iPhone ni bei ghali lakini hutajuta Simu nzuri sana hazina matatizo ya Kijinga kama hayo.
 
mkuu ilontatzo ni betri jarbu kutafuta betr lingne afu ulete mrejesho kama itazma tena
 
Back
Top Bottom