Kwanini sitapiga kura

mtoa mada .....nakupongeza kwa ujasiri wa hoja yako, kutofautiana mawazo ni ukomavu ......
 
Hugu gujinga kweli,tatizo gunajuwa kusoma na kuandika tu,ndo sera zamajitu mapumbavu kama haya,jitu kama hili ndo likienda bungeni utasikia ndiyooooooo gunalala mikaaaaaa halafu gunasema naunga mkono hoja 100%

guandika
 

Kwa hiyo kupost kwako hapa unatamani EL aje akubembeleze au?
 

ni kwasababu ya ujinga na upumbavu kama wako,


we jinga la kwanza tanzania kama ulikuwa hujui jua kuanzia leo


Tafsiri halisi ya kutopiga kura, wewe kama ni mtanzania na umefikisha umri wa kupiga kura na husipige kura ni kukataa serikali au dola iundwe maana yake ni nini hupaswi kulalamika kwa chochote kwa serikali itayopatikana baada ya wachache kukubali iundwe.

Uwe umebakwa hupaswi kushtaki wala kulalami mahali popote

Umevunjiwa kimeza chako cha biashara kaa kimya


umeibiwa kaa kimya

umetukanwa kaa kimya


wanao wamenajisiwa kaa kimya


Umegongwa na kuvunjwa kiuno kaa kimya

hii inamaanisha huna haki yoyote ile narudia huna haki yoyote ile kulalamika wala kwenda kushtaki mahali popote pale maana hukutaka serukali iundwe, wewe kobe angalia maslahi mapana acha kukunja ubongo wako mfukoni.


Kama unafikiria kuibiwa tu na kuwanufaisha wengine ulitaka anufaishwe nani ili ukapige kura???


Majitu kama haya hayatakiwi kuishi kabisa
 

Then, chagua upinzani. You know, to break hegemony and complacency. Hata kama unafikiri opposition ni dhaifu, just vote for them. In the end, your vote will contribute to improving governance and making the society better off. Architect wa multi-partism hawakufikiri kwamba vyama vya upinzani vitakuwa mbadala mzuri wa chama tawala (there is no guarantee). Walifikiri kwamba multi-partism inatoa fursa kwa wapiga kura kuadhibu watawala, bila kujali ubora wa upinzani/alternative. And through that process, taasisi imara zitajitokeza. Sema tu tumetawaliwa na false consciousness but it's not healthy to vote for the same government more than twice. We have stayed with the same government for over 50 years now! (Are we crazy?). For that reason, Tanzania is not even a democracy.
 
Wabunge nao wanaharibu kujilimbikizia maslahi hii inaharibu morality ya Watu kushawishika kuwaunga mkono Wanasiasa ni Aibu kwao wote ni wachumia tumbo
 

Elewa mkuu, sijasema sitaki dola iundwe... ila sioni tofauti yoyote kati ya wagombea wa kuongoza dola hiyo. that means yoyote atakaye shinda mambo yatakua ni haya haya... police walewale utaratibu uleule sheria zilezile bajet zilezile jeshi lilelile viwanda na sera mbalimbali zitakua zilezile.
why should i vote?
 

Mkuu, i think in the period of 2010-2015 upinzani was strong than ever.. what about the performance of the government? was it improved in a better way than the past government? if yes then ill vote for opposition if no ill go bac to my topic.
 
Mkuu, i think in the period of 2010-2015 upinzani was strong than ever.. what about the performance of the government? was it improved in a better way than the past government? if yes then ill vote for opposition if no ill go bac to my topic.

Hatujawahi kubadili serikali. Na Chama cha Mapinduzi kime dominate ALL THE WAY THROUGH (Angalia Bunge. It is not balanced). I think "Upinzani ulikuwa strong than ever" is a bit over the top. My point is, we need to take full advantage of multi-partisism for the reasons I provided earlier. Of course improvements will not occur over night but through a process of changing governments.
 
Mkuu, i think in the period of 2010-2015 upinzani was strong than ever.. what about the performance of the government? was it improved in a better way than the past government? if yes then ill vote for opposition if no ill go bac to my topic.

Also, people must demand for strong institutions. Strong institutions are never granted. They are demanded. Kuacha kupiga kura is tantamount to thinking that strong institutions will fall from the sky.
 
Simshauri kijana yoyote apige kura,Mimi mwenyewe nitapiga kura kama mbunge wangu hatachukua mil 238 feza za kifisadi za kiinua mgongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…