Kwani nilichagua kuja duniani?wao si ndo walikua na malengo na mimi?na mimi kutozaa ndio malengo yangu.Maamuzi yako! Lkn km haumaanishi, acha kuongea ivyo! Ushawahi kutafakari asingeleta mama Ako Na baba Ako huku duniani, ungelipatia wapi nafsi ya kunena hayo unayosema? Chunga mdomo wako!
yaah ni kweli watoto some time ni hasara kama wewe mwenyewe!Habari
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo.
Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20,kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.
Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee,kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa.ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi,shoga,muuwaji,gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?
Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma.watanicost pesa yangu,mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu
____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.
Kua na mtoto ni chaguo langu,sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.
It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.
Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.
Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal ?
Maasallam.
Wewe ulipatikanaje? Walipokuzaa haukuwa mzigo kwao?Habari

Kuwa padreHabari

mmmh nahisi utakuwa na tatizo mkuu.Watoto ni faraja watoto ni balaka.unaona tabu kupoteza muda wako kulea mtoto eti mpaka afike miaka ishirini ndio aanze kujitegemea.Habari
Kama kijana wa kiume mwenye uwezo wa kuzaa lakini sitotaka mtoto katika dunia hii kwa sababu zifuatazo.
Sitaki kupoteza zaidi ya miaka 20 yangu kulea kiumbe.
Kulea mtoto mpaka aweze kujitegemea minimum ni miaka 20,kwanini nipoteze umri wangu kulea wakati ninaweza kutumia mda huo wa kulea kuzidi kua productive.
Hamna guarantee katika maisha.
Kama mnavojua maisha yetu haya hayana guarantee,kwa mimi siwezi kuleta kiumbe katika dunia hii ambayo haieleweki na iliojaa mabalaa.ili kumuepusha huyo mtoto na mabalaa ya dunia nimeamua nisimlete kabisa au unaweza ukaleta mtoto akawa balaa kwa dunia akawa mwizi,shoga,muuwaji,gaidi sasa kwanini nitake risk wakati naweza iepuka?
Watoto watanirudisha nyuma
Kutokana na kazi yangu watoto watanirudisha nyuma.watanicost pesa yangu,mda wangu pamoja na stress zao arghh maisha ni yangu na yatabaki kua yangu
____
Sasa mama yangu kila akiniuliza kua anategemea mjukuu kutoka kwangu hua napatwa na hasira japo nampenda.
Kua na mtoto ni chaguo langu,sitaki jamii inipe presha ya kupata mtoto sababu mimi sio 3D human printer.
It is our body, our will, our blood and flesh; and hence our choice to procreate or not.
Nobody is supposed to be judged just because they don't want to have babies.
Sometimes we want our career and sometimes our passion to lead our lives. If making a child doesn't fit in that, what's a big deal ?
Maasallam.
Umri wangu umesogea,nalazimishwa kupata mtoto wakati sihitaji
DuuuhhNishawahi mtia mimba mwanamke akaitoa.
Kuzaa sio jukumu alilopewa binaadamu la lazima