Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Wanajanvi,
Leo nilikua najadiliana na best yangu mmoja akinitaka ushauri kuhusu mke wake kuwa msiri kwenye kipato chake cha ofisini na ndoa yake bado ina mwaka mmoja, akaniuliza mie nahandle vp hili swala.
Jibu nililompa amebaki akiniangalia haamini nilichomwambia ni kweli ndani ya miaka 12 ya ndoa yangu sijui mke wangu analipwa sh ngapi na sitaki kujua asilani, akaniuliza why na wewe ndio uligharimia elimu yake?
Nikamjibu kumsomesha sio tiketi ya kujua kipato chake bali ilikua kumwandaa pale nitakapopata tatizo aweze kusimamia familia pia nikamwambia unapooa tu lazima umsome mkeo tabia yake kwa ujumla ili uishi nae kwa amani.
Ndoa nyingi zinaingia kwenye migogoro kuhusiana na vipato vyao,la kufanya kama mwanaume ni kutambua jukumu lako kama kichwa cha nyumba na kusimamia jukumu lako kwa ukamilifu.
Nikamwambia mimi nilitambua tabia ya mke wangu mapema nikajipanga kuishi nae kwa akili, mshahara wake siujui but kuna vitu nimempangia vya kusimamia ndani ya nyumba.
Na bado huwa nawajibika pale ninapoona upungufu na tunaishi kwa amani, ukitaka kuishi na mwanamke mfanyakazi mpe uhuru wa kutumia kipato chake bila kuingiliwa utaona utamu wa ndoa.