Kwanini Sipendi 'Vi-Baby Walker' !

Baada ya kusoma comment ya mchambuzi afuataye, nimeridhika kuwa wenye macho wameona na wenye masikio wamesikia. Kwangu nimejifunza na ni uungwana kukiri kuwa somo limetimia. Kwa heshima na taadhima naomba niishie hapo

Haha!! huyu atakua [MUHAYA] wasipaone wahaya wengine hapa, SORRY wahaya! ila nimevutiwa na uchambuzi!
 
mkuu hayo magari yenye hybrid technology n kama yapi

yapo mengi niliyaona hapa bongo watu wanayo kuna TOYOTA PRIUS na LEXUS LS45Oh au LEXUS RX 400h hio h inawakilisha hybrid......magari haya yana engine ya kawaida ya petrol na electric motor,ukiwa kwenye foleni au speed ndogo kama 60 hivi unakuwa unatumia elecric motor kwahio unasave mafuta ila mwendo ukizidi 60 hivi inajibadili inaanza kutumia petrol engine.
 
 
 
Ushaona sasa???!!

Kaka nilimtahadharisha mapemaaa....a
We are just having fun here lakini wengine wanatake a big deal out of it...wengine ndo tunayajua magari kama fundi gereji tu hata hatuyamiliki ila imeshaonekana OLESAIDIMU unataka free K

Kaaz kweli kweli
Cc RRONDO
 
Last edited by a moderator:

bro unafikiri wananipa shida hao wajuaji wakati hamna kitu....mtu hata kusoma simple msg hawezi anajidai mchambuzi
eti tunatafuta free K kwa kusema tuna magari!! seriously mtu mzima usawa huu una mawazo hayo!!!

sipendi hivyo vigari na hilo halibadiliki....aidha napanda daladala au bajaj ila hivyo vi baby walker sivipendi.
 
Ushaona sasa???!!

ha ha ha ningekuwa sijui kuwa watu wa type hio watakuja na povu litawatoka ingekuwa shida....lakini nilijua wapo na watakuja kwahio hamna jipya....hapa hata ukisema sipendi kula maharage utaambiwa unajidai tajiri ili upate free K kumbe maharage yamekuchosha kweli kisa boarding school ulikuwa unakula kila siku tena yenye wadudu
 
Hii nayo ni Science & Technology?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…