na hapo nimetoa angalizo...je nisingetoa angalizo??!! hivi ukisafiri na kivitz zile abood au mohamed trans ukipishana nayo inakuwaje???!!!
mimi pia uwezo sina inabidi nichague moja kwahio 'baby walker'.....NO wacha nikomae na 'jini'
hapo kwenye mafuta ndio nasema discipline ndio ina matter....
Hujui na huna weledi na unachokiongea. Mf nenda nchi za wenzetu uone uwiano wa magari makubwa na madogo kwa mjini, utashangaa mf china, india, korea, israel, etc.
Sisi wengi wetu tunaishi kwa kupenda sifa tu lakin hakuna ulazima wewe unatoka posta kwenda mwenge then uhitaje 4x4?
Kwani unahitaji gari yenye nguvu gani kwa town trips?
Issue ya nafasi ni kweli nakjbaliana na wewe, na ulisearch utaona uzi unaoelezea namna ya kununua gari kulingana na mahitaji yako.
Lazima ujiulize unahitaji gari ya aina ipi kutokana na shuguri zako, ukubwa wa familia, kipato chako etc same kwenye simu heheheeee utakuta mtu anamiliki smart phone wakat hata shuguri zake hazihitaji internet wala email hahahaaaa au unakuta mtu anaenda shamban na vits au starlet etc.
Nissan Patrol cc4200 inakula mafuta vizuri kuliko hata hilux 2.8 na kuna gari siku hizi kama umeziona zina hybrid technology ambapo zinatumia umeme kuliko mafuta na mafuta tu pale unapoiwasha ili ijae charge baada ya hapo inabaki silencer tu na battery zinaanza kutumika, so issue sii ukubwa wa cc.
Na kama mtoa mada kasema yeye ni mtu wa safari basi namshauri ajaribu kusafiri na gari yenye cc kuanzia 3000 ataona nini naongelea kwa maana ya security na confortability.
Lakini.mkuu povu si unaona limeshaanza... Mapi yuko wapi naona OLESAIDIMU keshafika.
Halafu kasema mwisho cc 2500 hapo vx inakujaje?
Hahahahaha sio nchezo....
Nasiki CC kama ile ya kwenye ail?. nanjilinji njoo huku uniambie kule shamba gari ya CC ngapi unatumia..
Ucheke kaka ila usikae mbali nature ya huu mjadala unaijua!!!
Nasiki CC kama ile ya kwenye ail?. nanjilinji njoo huku uniambie kule shamba gari ya CC ngapi unatumia..
Bhana kunao watu wana roho ngumu niliwahi kukutana na moja jamaa anatoka Kahama anenda Dar!!!wewe vits yako cc950 tu baki nayo hapa hapa posta mwenge.....huko mkoa utapulizwa na abood utumbukie darajani ruvu!!!!!!
nimelewa maneno ya bosiUmetumia kilaji gani my dada mchana wote huu!!!???