Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Mtamba wa Panya

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
790
Reaction score
1,961
Nina zaidi ya 30yrs lakini sijawahi kuwa na mpenzi kamwe. Binafsi sina uoga wa kutongoza lakini kila ninayejaribu hunijibu "nina mtu wangu" au "sihitaji mpenzi".

Nikiwacheki hao wanaume wengine ni wa kawaida tu kulinganisha na mimi lakini wanapata wanawake na wanawazalisha kama kuku.

Nikiwa na hamu ya tendo mpaka "ninunue"

Nimekuwa natafuta mwanamke wa kuoa lakini kila msichana ninayemuapproch hunijibu "nina mtu wangu". Sasa najiuliza Mbona hawa wanawake kutwa wanalalamika hawaolewi? Wakati kila mtu ana mtu wake?

Huwa nashangaa ninavyosikia mademu wa kihaya na warangi kuwa warahisi sana.. Mbona mimi nawaona wagumu hasa wahaya kuna mmoja nilitongoza juzi kanichimba mkwara nisimfatefate.

Inaniuma sana wadau kuona "mazwazwa" wanamiliki pisi kali huko mitaani halafu mimi mzee wa kazi a.k.a ngoma ngumu nabaki kubambia mito usiku.

Je, hii ni kawaida au ni mimi tu niko "as a special case".

Naombeni ushauri wadau nifanye nini? Maana wanawake wazuri wote wameshachukuliwa na wajanja na wanawazalisha tu.

Au nijaribu Kenya na Rwanda?

Inaniuma sana!
 
Back
Top Bottom