Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,520
Nafuu ninunue IpodUngeinunua walau uitumie kama mwezi hivi ungejijibu vizuri sana.
So umekubali aliyoyaandika mtoa mada ni ya kweli?Nimewahi Tumia Samsung S3, then note 4. Baadae Nikatest Huawei na Tecno. Lengo lilikuwa kujua hasa ladha na uzuri hususani baada ya kuona watu wanaongea ongea sana. Kila simu hapo juu, niliitumia kwa kipindi kirefu cha kuweza kujua uzuri na ubaya wa kila moja.
Baada ya kupita kote huko, nikajilipua nikanunua iPhone 8 Plus. Ukweli ni kwamba, sijajutia hela yangu maana simu ina ladha asikwambie mtu.
As well kuna vionjo fulani hivi ambavyo simu zangu zote za nyuma hazijuwa na huo uwezo. Apple Devices for sure are in another level. Comment yangu hii imebase from practical experience. Sina utaalamu sana wa kuchambua jinsi iPhone hii ilivyo but kuna tofauti kubwa sana na hizo Samsung, Huawei na Tecno ambazo nilishawahi kutumia.
Haahaa mkuu wanakunyima Hata kushika,pole sanaMtoa maada umechambua vyema Sana upo sahihi.ila Mimi simu ya ndoto zangu SI Ni iphone kwa kweli yaani nikipata tu hela lazima ninunue iPhone nijionee mwenyewe.sijawahi hata kushika iPhone wenye nazo wachoyo kweli
Nimewahi Tumia Samsung S3, then note 4. Baadae Nikatest Huawei na Tecno. Lengo lilikuwa kujua hasa ladha na uzuri hususani baada ya kuona watu wanaongea ongea sana. Kila simu hapo juu, niliitumia kwa kipindi kirefu cha kuweza kujua uzuri na ubaya wa kila moja.
Baada ya kupita kote huko, nikajilipua nikanunua iPhone 8 Plus. Ukweli ni kwamba, sijajutia hela yangu maana simu ina ladha asikwambie mtu.
As well kuna vionjo fulani hivi ambavyo simu zangu zote za nyuma hazijuwa na huo uwezo. Apple Devices for sure are in another level. Comment yangu hii imebase from practical experience. Sina utaalamu sana wa kuchambua jinsi iPhone hii ilivyo but kuna tofauti kubwa sana na hizo Samsung, Huawei na Tecno ambazo nilishawahi kutumia.
Utupe maelezo sasa,hiyo apecha pecha lololo,ipi kubwa na ipi ndogo,Hapo kwenye megapixels, mimi sio mtaalamu sana wa camera lakini katika simu usiangalie megapixels peke yake, angalia kitu kinaitwa aperture.
Mfano sasa hivi simu nyingi zina 12mp lakini tofauti inakuja kwenye aperture. Ukitaka kuijua aperture, kwenye sites mbalimbali zinazoweka specifications za simu utaona kwenye camera wanaandika 13mp, f/1.8 sasa hiyo f/1.8 ndo kitu cha kuangalia zaidi.
The less it is in figures, the higher the quality of the pic.
Hivyo hata kwenye iPhones ni kweli hawana zile mbwembwe za 16mp, ila aperture is what matters.