Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,868
- 2,117
Tigo mzeeNadhani Halotel hawana huduma ya 4G.....mbali na Halotel mtandao gani mwingine una tumia kwa hizo simu?
Habari nina shida kidogo wazee, nina Samsung s5 original na Samsung J7 original cha kushangaza zote hazipandishi 4G! Nimejaribu kurekebisha APN ila hakuna lolote! Nikipiga simu halotel customer Care inakata! Nipo mjini tena nje ya mnara!
Ilipaswa ichekeshe au?Ifukize hio sim ktk Chetezo kwa Ubani maka.uone
Itapanda hadi Majinni wacha 4G tu,Mkuu
Tanzania??? Labda airtel burundi ndo wana 4G mkuu.Airtel iko vizuri saaana 4G LTE
Katupiga changa la machoTanzania??? Labda airtel burundi ndo wana 4G mkuu.
model ganiHabari,
Nina shida kidogo wazee, nina Samsung s5 original na Samsung J7 original cha kushangaza zote hazipandishi 4G. Nimejaribu kurekebisha APN ila hakuna lolote. Nikipiga simu halotel customer Care inakata.Nipo mjini tena nje ya mnara.
Pole..Habari,

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tanzania??? Labda airtel burundi ndo wana 4G mkuu.
Bilashaka Hujatumia 4G ya TTCL wewe, jaribu uone4g tanzania miyeyushe tu!
Ova