Kwanini shule ya msingi Kivule, Dar imekuwa kero kwa michango?

WAMASERO

Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
70
Reaction score
9
BY,IKIMITA EGESACHA
Wakaazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kivule manispaa ya Ilala wamekuwa wakikerwa sana na michango ya walimu wanayowachangisha watoto wao, ikizingatiwa kuwa walimu waliopo katika shule hiyo hawafundishi muda wote wako katika kazi zao na mtoto akitumwa hela mfano ya uji asipoenda nayo lazima apigwe muda wa kutoka shule kwa ambao hawakununua uji hubakia shuleni kutumikia adhabu ili kesho yake aende na hela, ikizingatiwa uji huo ni biashara ya mwalimu, ukirudi nyuma ajira ya mwalimu ni wito kwa umma.

Ni nini kifanyike kukomesha mambo haya? Au ni nani awajibishwe mwl,mkuu? au mratibu kata? kamati tendaji ya shule?.TUNAOMBA WIZARA YA ELIMU IFIKE KTK SHULE HII NA IJIONEE JINSI ELIMU ILIVYOSHUKA NA HAKUNA CHANGAMOTO YOYOTE ILE KTK HII SHULE,Nawasilisha ahsanteni
 
Waripotiwe hao wote wanaowanyanyasa wanetu, ikiwezekana haraka iwezekanavyo
 
Uchaguzi mkuuu October 2015_ ccm itaondoka madarakani

Peoplezzzzzzzzzzzzzz
 
Dawa ni elimu bure.chagua Lowasa na mgombea anayewakilisha UKAWA katika ngazi ya ubunge na udiwani.
 
wewe msengerema nani alikwambia ualimu ni wito??
kama unaona mia mbili ya uji ni nyingi mpeleke mtoto wako akasome TUSIIME au ST.MARYS kule hakunaga mchango wa uji
 
Huu kama sio ulofa ni nini,na kama wewe ni muhusika ktk hii shule andaa maelezo mmetuchosha
 
BY,IKIMITA EGESACHA
Wakaazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kivule manispaa ya Ilala wamekuwa wakikerwa sana na michango ya walimu wanayowachangisha watoto wao, ikizingatiwa kuwa walimu waliopo katika shule hiyo hawafundishi muda wote wako katika kazi zao na mtoto akitumwa hela mfano ya uji asipoenda nayo lazima apigwe muda wa kutoka shule kwa ambao hawakununua uji hubakia shuleni kutumikia adhabu ili kesho yake aende na hela, ikizingatiwa uji huo ni biashara ya mwalimu, ukirudi nyuma ajira ya mwalimu ni wito kwa umma.

Ni nini kifanyike kukomesha mambo haya? Au ni nani awajibishwe mwl,mkuu? au mratibu kata? kamati tendaji ya shule?.TUNAOMBA WIZARA YA ELIMU IFIKE KTK SHULE HII NA IJIONEE JINSI ELIMU ILIVYOSHUKA NA HAKUNA CHANGAMOTO YOYOTE ILE KTK HII SHULE,Nawasilisha ahsanteni

______ωωωωω_________
 
Thread Hii Ya Muda Vp Sasa Hivi Hali Ikoje ?
 
Mkuu ni hilo tu la kudaiwa michango au kuna lingiene? Nahisi kama umekosea kama shule na pengine kamati ya shule wamekubaliana wachange sasa wewe unataka mwanao awe anakunywa uji kupitia michango ya wengine? Maisha ya sasa hivi mzazi gani achange pesa na mwingine asichange? Kama kuna tatizo lingine unayo haki ya kulalama lakini kama ni suala la kusema eti ambao hawachangi wanawajibishwa mi nadhani unapaswa utafakari upya.
 
Back
Top Bottom