wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
- Thread starter
- #81
Anyway, issue sio demand and supply, ukijibu kutumia hizo theory unakua unajibu kutokana na ulivokariri darasani. Hebu lete reasonable facts mezani. Maana hata bila kwenda shile mbona haya mambo yanaeleweka. Haya mambo hayapo complicated kama walimu wetu wanavo tufundishaJibu la swali hili ni simple basic economy.
DEMAND AND SUPPLY.
Nchi ambao inauhaba wa ku export maranyingi inakuwa na shida / Demand ya pesa za kigeni. Matokeo yako pesa yake inashuka thamani.
Na nchi ikisafirisha sana bidhaa nje ya nchi demand ya pesa za kigeni ni ndogo, hivyo pesa ya nchi hiyo huwa na thamani zaidi kuliko nchi inayoagizia vitu vya nje kwasana.
Ila China ni story tafauti.
USA Wanawalazimisha wapandishe thamani ya oesa zao lkn wachina hawataki..
hii nitsielezea baada kama utanitaka