Kwanini Serikali isipige marufuku Kitchen Party?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,593
15,389
Wakuu hii kitu miaka ya 90 sikuwahi kuisikia. Sijui imetokea nchi gani.

Sioni kama wanafundishana mambo ya maana zaidi ya ukahaba na kuvizia vijizawadi.

Mwaka 2004 nimewahi kuzamia kitchen party ya walimu wangu kwa kujificha aisee walikuwa wanamfundisha yule Mwalimu mwenzao uhuni na ukahaba, sikuona kama ni mambo ya ndoa pale.

Pili washabiki wa hizi kitu ni wanawake walioachika, wasimbe wasio na mpango wa kuolewa, wanawake wanaotawala waume zao wasiofugika au kuonyeka. Watu kwenye maadili hawaungi Mkono kabisa hii kitu.

Juzi nikiwa mahala flank nawasikia Kikundi cha wakina mama wanaajipanga kuvaa robo tatu uchi kwenye kitchen party ila itabidi waondoke na madera home ili waume wao wasijue.

Kuna bibi wa heshima na maana sana lakini kumbe huwa anavua vinguo hadi kubaki na nguo ya ndani akiruka sarakasi kwenye hizo party, jimama moja linakatikia chupa hadi inazama nusu sirini.

Haya ni mafunzo ya zinaa na uasherati.

Nashauri kitchen I party zifutwe alafu hayo mambo mwanamke afundishwe na mama au Ndugu sake sirini tens kwa adabu.
 
😂 ilo jimama linalokatikia chupa inazama, Picha yake mkuu.
Limke LA mtu Mkuu. Ndio lilikuwa linawapa wenzake mbinu za kuondoka home kistaarabu.

Mume wake alikuwa anamkubali sana kila siku moja kumbe wale madj walikuwa wanachukua clip. Ikavuja had I mume wake ikamfikia. Lkn bado hajakoma ndio amegeuka Lionel messi wa kuwapanga wanawake wenzake jinsi ya kuondoka nyumbani na madera/vitenge huku ndani wamevaa robotatu uchi.
 
Kama ulizamia wewe utakuwa ni me, kwahiyo ulivaa dera sikuhiyo
Hiyo kuzamia ilikuwa 2004.
Ilikuwa ujana tu maana tuliombwa tusubiri mahali ili wakimaliza mambo yao twende kuwasaidia KAZI flani.

Sasa tuliaminishwa huwa kuna ujingaujinga huwa wanafanya mle ikabidi kuchungulia kidogo has a kwa sababu alikuwemo mtu mmoja aliyekuwa anapinga sana mambo yayo na alikuwa head mistress kumbe na yeye alikuwa msanii tu
 
Hiyo kuzamia ilikuwa 2004.
Ilikuwa ujana tu maana tuliombwa tusubiri mahali ili wakimaliza mambo yao twende kuwasaidia KAZI flani.

Sasa tuliaminishwa huwa kuna ujingaujinga huwa wanafanya mle ikabidi kuchungulia kidogo has a kwa sababu alikuwemo mtu mmoja aliyekuwa anapinga sana mambo yayo na alikuwa head mistress kumbe na yeye alikuwa msanii tu
Jaribu kuzamia tena labda wame update 2004 ni mbali sana hata mapambo yalishabadirika
 
Kuna jamaa yangu ni dj mzuri.. anakwambia akipata tenda ya kitchen party anapata shida sana.. maana maneno ya wanawake humo na vituko vyao yanamdindisha sana
Hahaha
Kama wanakutana wanawake kwa wanawake unadhani kwa nini wakae uchiuchi wakati hawana wakuwatamani.

Kama sio maandalizi ya usagaji huko baadae basi hapo madj ndio huwa wanatafutwa.
 
Back
Top Bottom