Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,083
ukinunua fake ya laki moja unafikiri ungelipwa kiasi gani?Nilipoona Title nikajua tayari serikali imekubali kulipa fidia, nikajisemea moyoni kesho nitaenda kununua feki ili wanilipe. Kufungua, kumbe unauliza swali!!!
Hapo nimekupenda ghafla.Aliyekutuma ununue vitu feki ni serikali?
wewe unadhani kila mtanzania ana uwezo wa kujua simu feki?a vyombo vyote vinvyohusika kzi yao ni ipi. tunalipa kodi watulinde. nashuri serikali kwa kutokulinda watu wakuziwa vitu feki wangewka utaratibu wa kuhakiki simu zinazoingizwa na hizo wlizouziwa feki hazitachukua muda kwani zinkufaga zenyewe baada ya muda mfupi.kwa hiyo wasizifungie. waendelee kupata kodi yao kwa matumizi ya hizo simu.Hapo nimekupenda ghafla.
TFDA wanapita na kukagua bidhaa feki na kuziharibu ili zisifike kwa mlaji na kula sumu kwani ni wajibu wao.
Sasa inakuwaje TBS wanakiri kuwa kuna simu fake na hawachukui hatua wakatizimezagaa
Hii ni Serikali ya Awamu ya Tano. Watafute serikali awamu ya nne uwapelekee haya malalamiko.Kufuatia kutangazwa kwa kuzimwa kwa simu feki,na hasara moja kwa moja kumkuta mwananchi,
Je serikali kwa nini isiwajibike kurudishia gharama wote watakao athirika na zoezi hilo. Sababu
1. Serikali ndio ilikuwa na jukumu la kudhibiti bidhaa hizo, lakini ilishindwa hivyo wananchi wake tayari wameathirika kiafya.
2. Wameshakusanya kodi ya hizo simu.
Very good question,Aliyekutuma ununue vitu feki ni serikali?
TFDA wanapita na kukagua bidhaa feki na kuziharibu ili zisifike kwa mlaji na kula sumu kwani ni wajibu wao.
Sasa inakuwaje TBS wanakiri kuwa kuna simu fake na hawachukui hatua wakatizimezagaa
Majibu ya kitoto haya. Bidhaa zote kutoka nje zinapoingia vipo vyombo vya serikali vyenye utaalam kuchunguza ubora wake na kuhakikisha kodi inalipwa. Jee ina maana serikali kumbe inakusanya kodi hata kwa bidhaa fake ili kupata mapato bila kuangalia madhara kwa mlaji? Hao wanaonunua simu fake wanajikuta wanazinunua kutoka katika maduka yanayotambuliwa na bidhaa hizo wanaamini zimekaguliwa ubora wake.Endelea kununua simu fake eti TBA wapo!! Anyway waandikie Barua za malalamiko
Aliyekutuma ununue vitu feki ni serikali?