Field Marshal Kili
Member
- Aug 7, 2009
- 11
- 7
Monsanto hapa Marekani kila siku inapigwa vita, nimeona kama serikali ya Tanzania inajaribu kuwakubalia kulima hayo mazao yao nchini!Aibu.
Hiyo ni pure GMO (GENETIC MODIFIED FOOD) asiyejua madhara ya GMO aende kwenye Google asome. Jamani watanzania hayo mahindi na vyakula vya GMO wadudu wanashindwa kula au kuharibu kwasababu wakila hawataweza kuishi (wadudu hawawezi kula sembuse binadamu ataweza)
Leo tunaletewa huko kwasababu ya ujinga wa watu wachache kutokuwa na misimamo labda kwa vile watafiti wanaletwa kuja hapa USA bure ndiyo maana wanatetea.
Africa yetu inaharibiwa na hao watu wenye tamaa za kuuza bidhaa zao, wanasayansi wetu wanahongwa na vizawadi vidogo vidogo huku wakiachia taifa likiangamia. Magufuli tafadhali ingilia kati hiyo siyo sawa.
Ebu waulizeni huyo Bill Gates na mkewe Melinda Gates kama wanakula GMO foods. Kuna mimea gani inakuwa kwa mwezi mmoja au miwili, jaribu kufikiri hizi fast foods zinavyoua watu halafu leo mnazikubali, kwani siku zote mbona Africa tulikuwa tunaishi na kulima vyakula vyetu organics au convention lakini siyo GMO na hakukuwa na tatizo.