Mpira wa kona
JF-Expert Member
- Nov 25, 2016
- 350
- 338
Watanzania Fedha za Ruzuku Kwa Vyama vya Siasa in fedha za walipa kodi masikini Wanyonge ambao Mh.Rais Magufuli amekuwa anawapigania..
Nilidhani ni vema Serikali ikasitisha Ruzuku Kwa Chama cha CUF mpaka hapo Kesi ya Uongozi iliyopo Mahakamani ikamalizika ili Serikali itoe Ruzuku Kwa uongozi halali.
Watanzania masikini Na wanyonge wanahangaika kulipa kodi badala ya kodi zao kutumika kuwaletea maendeleo Leo zinapelekwa CUF LIPUMBA. Mh.Rais hebu waonee huruma watanzania masikini.