Kwanini Saudi Arabia?

perez musharaf alishindwa uingereza na sio Saudi Arabia. by the way ukipewa political asylum in saudia huru usiwe kufanya siasa ya aina yoyote ile ama sivyo unarudishwa kwenu ukachinjwe.
 

Ungeangalia hao wote ni dini gani ungepata mwanga kidooogo. Si jibu ila mwanga kuelekea kupata jibu.
 
Natamani hii maandamano makubwa yatokee hata kesho ili ------ akimbilie huko huko. Simtaki Tanzania. atuachie nchi yetu

WE mpuuzi kwel kila mara wawaza maandamano kwa kuwa huna kazi ya kufanya sie wenye kazi zetu tunaona hiyo ni njia
ya kihuni.Uandamane kwa lipi?
Na hata ukisema akimbilie huko akuachie nchi yenu wewe na nan? kwani yeye sio mwananchi halali ya nchi hii?
Wakat mwingine uwe unatumia akili mkuu
 

mkuu acha kukrupuka kwan NAWAZ SHARIF ni dikteta na mbona karudi kuwa waziri mkuu tena wa pakistani
na hata huyo zine bin abedine bin ally alikimbilia saud arabia kwa matibabu na sio hifadhi ya kisiasa
PERVEZ MUSHARAF baada ya kuachia madaraka alikimbilia kwanza LONDON tafadhali hebu kuwaga na fact ndo uandike hoja huku
 

Mkuu mbona wewe mkali ? Tunarekebishana pole pole kama mtu kakosea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…