Kwanini sapoti ya Diamond kwa dada yake ni ndogo?

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,595
18,934
Ukiangalia Mara nyingi interview anazofanya diamond especially anapotaja wasanii wake wa WCB Mara nyingi jina la dada yake queen darling alitajigi lakini pia hata tu kupost kazi za dada yake queen darling ni chache tu ndo anapost kwenye mitandano yake ya social network hii ni tofauti na anaposapoti kazi za wasanii wake Kama harmonize kipindi yupo wcb, rayvanny,mboso na lavalava.

Hata ukija kwenye usimamizi wa kazi za wasanii wake ila dada yake amsimamii mfano niliona akimsamia harmo kipindi kile Kwenye ngoma ya aiyola akimwelekeza director baadhi ya Mambo wakati wakishoot wimbo wa harmo aiyola pamoja na ngoma zake zingine lakini pia tumeona kwenye kazi za kina mboso, lavalava na rayvanny hata ukiangalia video za rayvanny, mboso na lavalava Zina gharama kubwa kuliko za dada yake.

Kingine amewatengenea channel za international artist wasanii wake wa WCB kuliko dada yake queen darling ambaye Hana hata collabo moja na international artist lakini pia ajawahi kufanya kazi moja na dada yake ili amsaidie kiaina.Inawezekana diamond hakubali kipaji Cha dada yake au members wenzangu mnasemaje?
 
2. Kwa dada yake hakuna biashara kubwa anaamua kuweka nguvu kwenye sehemu ambayo biashara italipa
 
Kwani ni Lazima?
 
Hilo sasa gubu
Kitendo cha kumsaini dada wcb tu,ni msaada mkubwa
Dada ameridhika na anachopata,sio lazima awe juu kama mdogo wake
 
Wimbo wa kwanza wa Diamond ft Rommy Jones uitwayo Toka Mwanzo alienda kuomba collabo kwa huyo dada yko akamchomolea ikabidii nafasi akaicover Fatma
 
Naona Queen Darlin unefungua ID JF umekuja kujipigia debe..
Sasa si mkae kikao cha familia myaongee haya??
 
Hajafanya colabo na international artist ina maana wimbo wake na Harmonaize hujausikia?
au hutaki kukubali kama Konde boy ni international artist??

BTW, hujui makubaliano yao so waache kama walivyo.
 
Wimbo wa kwanza wa Diamond ft Rommy Jones uitwayo Toka Mwanzo alienda kuomba collabo kwa huyo dada yko akamchomolea ikabidii nafasi akaicover Fatma
Alafu zamani Dada yake alikuwa upande wa kiba wakat mond kinda wa mziki, wimbo wake wa kwanza aliimba na kiba huyo queen.
 
Back
Top Bottom