Kwa wakati huo alikuwa dogo fulani tu kama ulivyosema lakini baada ya miaka kadhaa amekuwa mtu mkubwa na mwenye mafanikio katika soka la Afrika kiasi kuwa Yale aliyoyafanya wakati akiwa dogo fulani ndani ya timu enzi hizo nayo yamejumlishwa kwenye mafanikio yake Eto
Uongo mtupu, hajafunga Goli Hata moja la penalty Kati ya hayo matano.huo ufuungaji bora wa 2006 3 kati 5 aliyoyafunga yalikua ni peanlties. Bado hazionyeshi individual alio ufanya.
Uongo mtupu, hajafunga Goli Hata moja la penalty Kati ya hayo matano.
1. Akifunga Hattrick mechi na Angola
-goli la kwanza likiwa na Free kick
-goli la pili la kichwa
-goli la 3 shuti la corner ya 18
Ushahidi
Eto'o crushes Angola
Samuel Eto'o underlined his pre-eminent position in African football with a hat-trick as Cameroon beat Angola 3-1 in the opening Group B match at the African Nations Cup finals in Cairo on Saturday.www.rte.ie
2. Anafunga Goli 1 against Togo Tena shuti la mita 20
Ushahidi
3. Anafunga Goli against Congo Toka through pasi ya Geremi, Mpira unagonga mwamba unamgonga kipa na kurudi nyavuni
Ushahidi
Leta na wewe ushahidi kwamba alifunga penalty 3
Uongo mtupu, hajafunga Goli Hata moja la penalty Kati ya hayo matano.
1. Akifunga Hattrick mechi na Angola
-goli la kwanza likiwa na Free kick
-goli la pili la kichwa
-goli la 3 shuti la corner ya 18
Ushahidi
Eto'o crushes Angola
Samuel Eto'o underlined his pre-eminent position in African football with a hat-trick as Cameroon beat Angola 3-1 in the opening Group B match at the African Nations Cup finals in Cairo on Saturday.www.rte.ie
2. Anafunga Goli 1 against Togo Tena shuti la mita 20
Ushahidi
3. Anafunga Goli against Congo Toka through pasi ya Geremi, Mpira unagonga mwamba unamgonga kipa na kurudi nyavuni
Ushahidi
Leta na wewe ushahidi kwamba alifunga penalty 3
Sawa amefunga hizo penalty 2008, so what? Akifunga penalty 2008 inaharibu mafanikio ya 2006? Akifunga penalty 2008 inamaana 2000 hajafunga na ku assist mechi ya Fainali? Na Hata ukitoa hizo penalty 4 still anakuwa top scorers of all time. Ana Goli 18 na wa pili ana 14, bila Hata penalty bado yupo juu.Nimekeosea. ilkua ni 2008, magoli ma4 kati ya matano aliofunga yalikua ni kwa njia ya penalties . nayote alifunga hatua ya makundini. Na hata hayo ya 2006 yote alifunga makundini. Hakua na goli hata moja ndani ya knockout stages.
Sawa amefunga hizo penalty 2008, so what? Akifunga penalty 2008 inaharibu mafanikio ya 2006? Akifunga penalty 2008 inamaana 2000 hajafunga na ku assist mechi ya Fainali? Na Hata ukitoa hizo penalty 4 still anakuwa top scorers of all time. Ana Goli 18 na wa pili ana 14, bila Hata penalty bado yupo juu.
Ngoja nikupe stats nyengine ya mwisho
Etoo ana magoli 56 katika timu yake ya Taifa Cameroon, na Kati ya Hayo magoli 6 tu ndio yanatokana na Mechi za kirafiki, magoli 50 yanatokana na michuano mbali mbali.
For comparison Messi ana Goli 66 lakini Goli 32 zimetokana na mechi za kirafiki.
Kwa lugha nyengine Etoo ni maChine inayofunga Competitive Games tu, iwe ni Afcon (Goli 18), World cup (Goli 3), kufuzu world cup (16), Kombe la mabara, kufuzu Afcon etc
Africa Hana Mpinzani na Hata huko Duniani ni wachache Sana Wenye Rekodi Kama Yake,
Kwahiyo Pierre liquid ndiyo anaye stahiliEder alifunga goli lililoipa ubingwa wa Ulaya Portugal. Haimaanishi kua yeye alikua mchezaji mkubwa kwenye ile timu.
Kikosi cha Cameroon cha akina Mboma, Song, Laurent, Foe Etoo alikua ni dogo fulani tu hivi mwenye mchango wakawaida tu kwenye timu.
Eka vizuri amecheza mechi 8 ana Goli 3Kushikilia aina fulani ya rekodi haikufanyi wewe kuwa ndio bora kuliko wengine.
Klose ndie all time top score kwenye world cup - Jee hii inaamisha yeye ndie forward bora kabisa Duniani?
Mbona pia husemi kama Etoo amecheza World Cup 4 huku akiambulia magoli 3 tu?
Eka vizuri amecheza mechi 8 ana Goli 3
Messi mechi 19 Goli 6
Etoo ana goal to match ratio nzuri kuliko Messi World cup.
Na hakuna aliesema Etoo ndio Mchezaji Bora zaidi Africa, Nimekupinga wewe uliesema Mboma ni Bora zaidi Ya Etoo na Kupinga kwanini Ameitwa Kama Mgeni wa Heshima Afcon.
Turudi kwenye Mada zamu yako na wewe type stats Za mboma zinazofanya Etoo awe mbaya.
Mkuu acha ubishiEder alifunga goli lililoipa ubingwa wa Ulaya Portugal. Haimaanishi kua yeye alikua mchezaji mkubwa kwenye ile timu.
Kikosi cha Cameroon cha akina Mboma, Song, Laurent, Foe Etoo alikua ni dogo fulani tu hivi mwenye mchango wakawaida tu kwenye timu.
Kwani umeambiwa mchezaji wa heshima lazima atokee Cameroon?Ni overrated tu, hana record yoyote ya mana. izo 18 goals most of them ni penalties tu.
Patrick mboma anastahiki heshima zaidi kuliko yeye. mana ndie aliekua Best player kwenye ile Cameroon iliyobeba mataji.
Daaaaa sijui mwaka huu nani atakuwepo,mika 900 ijayo mzee.AFCON 2918... Nani Bingwa nijuzeni??? Nipo safarini..??
Ni wivu tuNi overrated tu, hana record yoyote ya mana. izo 18 goals most of them ni penalties tu.
Patrick mboma anastahiki heshima zaidi kuliko yeye. mana ndie aliekua Best player kwenye ile Cameroon iliyobeba mataji.
We jamaa ulitaka awe nani mbadala wa Etoo?na utuambie kwanini huyo ?mana unaubishi wakishamba sana,Kushikilia aina fulani ya rekodi haikufanyi wewe kuwa ndio bora kuliko wengine.
Klose ndie all time top score kwenye world cup - Jee hii inaamisha yeye ndie forward bora kabisa Duniani?
Mbona pia husemi kama Etoo amecheza World Cup 4 huku akiambulia magoli 3 tu?
Serikali ya awamu ya 5 chini ya MsibaAFCON 2918... Nani Bingwa nijuzeni??? Nipo safarini..??
Hakuna mtu anaekataa kuwa Mboma hakuwa na mchango, ila Kama nilivyokujibu juu Mboma amewika miaka michache akapotea, huwezi kumuweka same level na Etoo. 1998 mpaka 2002 ni miaka 4 tu angalia Hata Club level amecheza Top level Football miaka michache tu baadae akahamia vitimu vya ajabu. Etoo mwaka 2000 tayari ni second To Shaun Bartlet kwenye Afcon ufungaji na 2008 ni mfungaji Bora, 2006, mfungaji Bora pia, angalia jinsi Alivyodumu kwenye game.Naona unafukuzia kumlinganisha Etoo na Messi. Mkuu usifike huko.
Mboma ana goal to match ratio nzuri kuliko ya Etoo, 33-55 wakati etoo ana 56-118.
View attachment 1158170
View attachment 1158171
Hayo siyo maelezo yangu. Mboma anazungumzwa kuwa aliiongoza Cameroon kwenye kushinda 2 AFCONS na Olympics.
Na Etoo anazungumzwa kuwa alikuemo kwenye kikosi cha Comeroon kilichoshinda Olympic na pia Alishanda 2 AFCONS
punguza pumba zako kichwani za kuutathmini mpira kwa kupitia assist na Goals.
Hakuna mtu anaekataa kuwa Mboma hakuwa na mchango, ila Kama nilivyokujibu juu Mboma amewika miaka michache akapotea, huwezi kumuweka same level na Etoo. 1998 mpaka 2002 ni miaka 4 tu angalia Hata Club level amecheza Top level Football miaka michache tu baadae akahamia vitimu vya ajabu. Etoo mwaka 2000 tayari ni second To Shaun Bartlet kwenye Afcon ufungaji na 2008 ni mfungaji Bora, 2006, mfungaji Bora pia, angalia jinsi Alivyodumu kwenye game.
Mkuu nimekupa mfano wa hio Afcon 2000,Hata awike miaka ya 20, mafanikio ya Mboma ya Cameroon huwezi fanananisha na Etoo. hata kama yeye alicheza kwa muda mrefu.
Sizungumzii suala la European Carer. nazungumza mchango wa mafanikio kwenye timu yao ya taifa. Etoo alishindwa kuipa Camepoon taji lolote kipindi ambacho yeye alikua ndio star player. hili liko wazi na nanshindwa kukufahmu unazunguka nahoja zisizo na msingi.
Kuhusu Club Level huwezi fananisha wachezaji waafrika wa pre-2000 na post - 2000 katika kupata nafasi ya kucheza mazingira mazuri Ulaya.
Roger Milla na Patrick Mboma hawa watu etoo sio level yake kabisa.
Gwajima yuko sahihi, No wivu tu...!Ni overrated tu, hana record yoyote ya mana. izo 18 goals most of them ni penalties tu.
Patrick mboma anastahiki heshima zaidi kuliko yeye. mana ndie aliekua Best player kwenye ile Cameroon iliyobeba mataji.