Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

Haujakosea IST na Mercedes s class zote zinakutoa point A na kukupeleka point B.. windows phone users ama kweli kuna nut zipo loose akilini mwenu sio bure.
mm natumia samsung wewe, ila nilishatumia WP, nina shaka unatumia OKING wewe
 
Kuna OS tofaut na Ile ya window P, ios, android na Blackbery?
 
Mkuu umetisha. Kazi unayo kweli.

Mkuu naomba unijibu hili swali, unatembea na battery 4 na memory card 10 mfukoni?
Battery 4, sd card kadiri 10 za 64 GB, na nyingine kadiri 10 za 128 GB. Na zinaongezeka kila mwezi.

Nasafiri sana na naweza kuhitaji chochote popote. Nataka hata nikienda mwezini na kukosa internet niendelee kufanya kazi zangu na kuburudika.

Sitaki ujinga.
 
Sasa wanaomiliki Android wakati wana option ya Apple nao utawasemaje?

Mimi leo nina option ya kupata Apple mpya bure, lakini siitaki.

Utanisemaje mtu kama mimi?
Bill Gates: My kids have never asked for Apple products.

Bill Gates alisema haya maneno kwenye Interview na Fox Business Network... Huyo jamaa anayekubishia anaweza kui"Google" hii interview ipo CNET.

Kusema kwamba wasio na iPhone hawana deep pocket ni ulimbukeni wa hali ya juu.

Mbona Diamond na Zari wanatumia Samsung... Je hawana deep pocket?

Mbona Bill,Melinda na watoto wao hawatumii iPhone... Je hawana deep pocket? na Bill ndie tajiri wa dunia.

Mbona Warren Buffet hatumii iPhone na yeye ndie tajiri wa pili wa dunia?

Vipi kuhusu Dangote,mtu tajiri zaidi Africa... Naye hana deep pocket?

Nikitaja list yote ntajaza uzi..

Simu za Google,Apple na Samsung Galaxy series hazitofautiani bei... Pia Xiaomi Mi series zinazidi gharama ya iPhone.

Hivyo kusema ambao hawatumii iPhone hawana deep pocket ni ulimbukeni kiwango cha bahari.
 

Kuna watu wengi wanafuata mkumbo zaidi.
 
Fine. Nimekupata.
Let's assume mtu ana 500,000. Mwambie simu yeyote nzuri ya android ambayo akiitumia hatojuta. Performance wise, battery life nk. Android yeyote.
overall best phone kwa hio simu ni moto g5 plus, kuanzia camera, soc, display ipo vizuri. kama utakuwa na mahitaji zaidi itategemea na hayo mahitaji
-perfomance ni xiaomi redmi note 3
-battery life ni lenovo vibe p2 etc

kama huogopi used Note 4 ni nzuri kwa hio budget.
 
Haujakosea IST na Mercedes s class zote zinakutoa point A na kukupeleka point B.. windows phone users ama kweli kuna nut zipo loose akilini mwenu sio bure.

windows mobile ni os nzuri tu na ina feature nyingi android hamna inshort ni unique sana, nafahamu vitu vingi vya android lakini still naimiss windows mobile.

vitu kama live tile, pin to start screen, almost kutokula chaji standby, smooth hata kwenye simu ya 512mb, total controll ya background apps, uwezo wa kumanage kifurushi etc

nadella sasa hivi haitaki windows mobile lakini ana plan kubwa zaidi, nasubiria surface phone full x86 device, full nintendo wii kwenye kiganja changu
 
Hutaki tu kukubali kuwa hayo mauzo yametokana na hizo simu kuwa na Android, kumbuka pia ilikuwepo blackberry lakini ilifeli, makampuni mengi yame boost biashara za hizi vitu sababu ya android.

Pia the real android haiko kwemye galaxy series, iko kwenye nexus, ninavyojua haya ma galaxy yote ya customized versions of android, so basically there is a sort of different experience kwa watumiaji wa Samsung na simu zingine zenye android.

So kwa ufupi utaona kuwa design, pamoja na customization ya software ndio inaipa sababu Samsung kuongoza sokoni.
 
Mimi Bnafsi simu za Samsung huwa sizielewi kabisa, nshatumia tatu ila niliishia kuwa disappointed, hazidumu na zina usumbufu sana. Sina hamu nazo tena
 
Samsung walijaribu kufanya heavy customization a.k.a forking ila nahisi ili back fire,washakuwa na os zao kama bada na tizen lakini zilifeli,kikwazo kikubwa kwa os ni support ya developers.
Wapo wanaofanya forking kama vile Xiaomi,Vivo,amazon kindle etc
 
 
Android is the best OS in the market. Ni vema wakawa na ya kwao but hyo inatakiwa ifanyike slow slow.
Walikuwepo blackberry , nokia wakalazwa chali.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…