Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?


Binafsi natumia iphone 4s,niliagiza uk april 2012 naitumia hadi leo hii sasa hivi naandika hii comment (yapata sasa miaka 5),sijawahi kwenda kwa fundi,sijabadili battery,power bank huwa naziona tu watu wanazitumia....
This is not just a phone....i call it more than a phone
 
Unaweza kuweka sd card?
 

Kwenye kukatisha update za iOS nakataa,juzi hapa ndio wamekatisha update ya iOS 9.3 kwenda iOS 10 kwenye iphone 4s. Wakati iphone 4s ilizinduliwa mwaka 2011. Mfano samsung s2 iliyozinduliwa mwaka 2011 iliishia kwenye android 4.1 jell bean. Je ni nani anaekatisha update za simu zake haraka kati ya apple na android?
 
Katika hili naunga mkono na natamani sana iwe ivo maana watumiaji wa android huwezi mlinganisha na ios kwa sababu ukiwa na s7 mfano huwezi tofautiana sana na mtu mwenye tecno y2 sana utamzidi camera, storege, na speed tu. hii kitu inaishusha sana hadhi samsung leo hii ukiwa na iphone 4s kihadhi unamzidi mtu mwenye samsung s6 edge, binafsi ni mpenzi mzuri sana wa bidhaa za samsung kwa sbb ni simu nzuri sana na bei yake hadi ujipange lkn pamoja na hayo yote tecno huawei na watumiaji wengine wa android hawatishwi na s8 yako maana wote mko chumba kimoja
 
Hizo 300m zikiwekewa hiyo tizen zitanunuliwa 10m tu....sababu ya kununua samsung ni android na si kingine....
I think kitu kikubwa wabadilishe interface...
 
Iphone zote hazina sd card,inbuilt memory inatosha...16,32,64gb
Inatosha kwa wasiotumia simu to the fullest. Kwa sasa hivi nina simu inayoweza kupokea sd card ya 1TB, kinadharia naweza kutembea na computer nzima kwenye simu.

Tatizo simu ina uwezo mkubwa kuliko SD cards zilizopo kwenye soko.

Unapoisifia simu wakati hujafanya matumizi ya "power user", unaweza kusifia hata kibatari.
 
Very true... Microsoft hawana app nyingi ambzo zipo sokoni nimetumia microsoft mobile last year....its boring
Very few apps ila mwanzo mgumu inakua taratibu i think aftr some years watarudi vizuri na windows 10 yao ipo poa
 
Mkuu mi sikubaliani na wewe!...
Iphone habari nyingine kabisa...
Kama hujawahi tumia we jaribu utanipa majibu,najua ni ushabiki....jaribu kuitumia
iPhone is more than a phone mkuu
Mi nimetumia zote.... iphone ni nzuri lakini sio kwa mtu mpenda mengi...
 
Kutengena os yako mwenyewe sio kitu cha mchezo mchezo fikiria windows na ubabe wao wote lakin wameshindwa kutoboa
 

So unataka simu yenye 1Tb unatunza nini?..
 
So unataka simu yenye 1Tb unatunza nini?..
Classified material.

But thats not the point.

The point ni keamba una simu ambayo ina limitation kubwa sana katika auxiliary storage na uwezo wa kubadili content en masse, halafu unaisifia sana.

Unaisifia sana kwa sababu hujajua matumizi ya power user.

Hujajua kwamba umefungiwa kwenye ecosystem.
 

Simu yangu ina 32gb..
Inatosha sana kwa matumizi ya simu,hata wao sio wajinga wanakupa choices kulingana unavyopenda the more the memory the expensive the phone, hizo zenye sd slot unakuta inbuilt memory ni ndogo sana so ili uweze ku expand wanakupa uhuru wa kununua sd tena nyingine wana kulimit sd memory!..
 

Umeisifia simu yako "This is not just a phone....i call it more than a phone".

Wakati simuiko very limited kwenye storage.

Siku hizi watu wana download ma video, ma audio, ma graphics. 32 GB kwa Whatsapp tu haitoshi.

Hiyo simu ni ya kuwekwa makumbusho ya kuonyesha simu za zamani zilivyokuwa na storage limitation.
 
Zunguka na hizo memory zako lakini iPhone is best phone ever!..
 
Feki hiyo
 
Kuhamasisha app developers ni changamoto sana.Huoni windows phone inavyojikongoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ