Eng Nyahucho
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 688
- 1,155
Asilimia kubwa wamemalizia pale kwa sababu ni chuo kilichoanzishwa muda mrefu uliopita. Au unataka kulinganisha UDSM na chuo kama UDOM cha 2000's?Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Walikuwa wakosoaji sana wa awamu zilizopitaKila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?
Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. Kwa awamu hii nadhani zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!
Mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Kila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?
Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. Kwa awamu hii nadhani zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!
Mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Haha.mkuu siku zote bongo ni rahisi kwa vile hawana kiwango niw a voda fasta.Mkuu, kuumba wengine wala haichukui muda mrefu. Kuna wasomi kibao wamejaa huku mtaani...
Jua kuwa hata wahadhili wako kwenye kile chuo cha kata walisoma UdsmAkili ndogo.
So what!Jua kuwa hata wahadhili wako kwenye kile chuo cha kata walisoma Udsm
Nadhani mpaka wa kanda ya ziwa waisheYaani utadhani phd zinafanya kazi. Binafsi nafikiri raisi anatakiwa awe makini zaidi. Nina wasi wasi na teuzi zake.
Kwa wewe hata afanye nini hatakuridhisha maana ulishalishwa unga wa ndele, angefanya wa upande wa pili ungekubaliMagu anafanya mambo hovyohovyo sana nashangaa kwa nn mijitu mingine hapa inamtetea.
Mkuu mm cna chama na huyu jamaa nilikua namkubal ila sasa kila kitu anachokifanya anachemka.Kwa wewe hata afanye nini hatakuridhisha maana ulishalishwa unga wa ndele, angefanya wa upande wa pili ungekubali
DUDE,uko sahihi, sana katika history memory maprofesa, ma -dokta,katika nchi hii walioshika wizara mbalimbali,walidororesha sana wizara zao,(af dude woote unawakumbuka,wataje)AS A RESULT THEIR LEGACY AND HISTORY MEMORY TO THIS COUNTRY HAS DWINDLED DRASTICALLY, ukienda kimataifa,obama mwenyewe ni profesa,lakini marecani imemshindaYaani utadhani phd zinafanya kazi. Binafsi nafikiri raisi anatakiwa awe makini zaidi. Nina wasi wasi na teuzi zake.
Kwa kutukana tu nilishajua we ni chama gani, maana ndio wana sifa hiyo kuu ya kutukana. Hata hivo hawezi kunipa cheo maana Id yangu haijui ila mnatuaibisha sana kwa mlivokosa uzalendo kila kitu anachofanya mnapingaMkuu mm cna chama na huyu jamaa nilikua namkubal ila sasa kila kitu anachokifanya anachemka.
Najua ww unajikomba kwake ili akupe cheo huko chaman kwenu. Acha upumbavu mkuu usitumie makalio kwenye sekta ya fikra