Kwanini replacements zote ni UDSM?

Mi nakuwa nafikiria tu hao alowateua wakiharibu atawafanyeje na huko UD wanazidi kupungua,au ndo utakuwa mwisho wa kutumbua?
Nawaza tu kwa sauti!!
 
Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Kwahiyo na nchi yetu kubarikia na raslimali zote hizo lkn bado maskini hao wasomi wa UDSM wamesaidia nini mkuu...Au uwezo wa kuandika madesa na kunakiri thesis za watu wengine ndo uelewa
 
Kwa sababu ndio waliomfundisha JPM mpaka akaelewa na kuwa raisi.Kwahiyo ana historia nzuri na UDSM.Sasa wewe nenda sijui ROIKO uone kama utaitwa ha ha ha
Wewe jamaa ni noma kwahiyo ile Pichidi walimpa wao
 
kwani mwenye Phd akituliwa kuwa DG au MD sehemu ndio inakuwa mwisho kufundisha au kufanya kazi za kitaaluma?
DR.Gharib Bilal alikuwa makamu wa Rais,lakin alikuwa anapita UDOM siku moja moja
 
UDSM ni zaidi ya chuo, ndio engine ya Tanzania bahati mbaya mfumuko wa vyuo nchini unalifanya hili lisionekane. Kiukweli pale it's a Home of intellectuals sasa sijui angeenda wapi zaidi ya UD kuwapata hao intellectuals .
 
Hicho ndio chuo kikuu cha Taifa,vingine ni vyuo vya serikali sasa kulijenga Taifa lazma uwatumie wana chuo.wa Taifa
 
Vyuo vya kata huvijui kwani?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
тнe нoмe oғ ιnтelecтυalѕ ĸaмa wee нυjaвaнaтιĸa ĸυѕoмa вaѕι jιтaнιdι мwanao aѕoмe нιcнo cнυo

.
 
Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Ni kweli kabisa na walipoifikisha nchi kila mmoja anapajua,"Maisha bora" kwa kila MTanzania hakika tunayaona.
 
Chief dangote ana degree amesomea Misri hapo.
 
Hivi SEKUCO, SJUT, SAUT, SUPUKA, UDOM, THE AMAZON, ST JOSEPH, n.k kuna wasomi huko?

kama wapo mbona wahitimu wao wako shallow, haajiriki na wanatengwa na waajiri?

acha mkuu achukue wabobezi toka chuo kongwe lenye sifa lukuki.
 
Kwa ujumla na kwa tathmini yangu UDSM wanajitahidi ukilinganisha na wahadhiri wa vyuo vingine nchini kwa kuwa na wahadhiri wenye elimu kutoka vyuo vya kuaminika duniani na ambao ni wazuri kitaaluma. Ushahidi ni vyuo walivyosoma na wingi pamoja na ubora wa research publications zao. Siyo wote lakini wahadhiri wengi wa UDSM wapo vizuri japo wao wenyewe hawatoi elimu nzuri kwasababu ya siasa zilizo nje ya uwezo wao (e.g. Mhadhiri mmoja kupewa darasa la wanafunzi 300-500 kufundisha). Chuo kinachofuatia ni SUA na cha tatu ni Mzumbe. Vyuo vingine vya "kata" pia wapo wahadhiri wazuri ila wachache sana. Anachokosea Rais ni kudhani kwamba academician mzuri lazima atakuwa administrator mzuri.
 
Kwa sababu UDSM ndiyo Alma Mater ya mkuu wa kaya - which means hana independent advice.
 
Nataman cku moja itokekee mh badala ya kuteua atangaze tu nafas ya kaz fulan imetolewa na rais aweke sifa tuone je kuna watanzania wenye nia na nchii hii wataomba kama mh alivyoomba kwetu tukampa bila kinyongo na kazi anaifanya kwa moyo
 
Lipa fadhila ww mtoa mada hukumbuki ulipewa phd ya kiwango hapo udsm
 
UDSM NDIO CHUO KIKUU NA KINA VICHWA BALAA..HUWEZI KUKIFANANISHA NA CHOCHOTE HAPA TZ HATA EAST AFRICA
Na ndio viongozi wengi wa taifa hili waliposomea alafu nchi bado tia maji tia maji...... Think wise afu soma ulichokiandika
 
Ulitaka zitoke wapi? Wewe ni Nyumbu au li Chadema nini?

Tafuta tu mabasha kinguvu, inaonekana umechoka kukaa kwenye kiti vizuri hivyo unataka kitu cha kutanua hilo tundu la tope hapo nyuma. Kwa taarifa yako hapa utapata unachokitafuta na hakuna anayeali harufu, tutachonokoa huo ugali wote wa maharage hapo nyuma.
 
It seems Raisi amekosa imani na products kwa hiyo ameamua kuichukua production line imsaidie. Simlaumu Mh Raisi ila kama nchi tuna safari ndefu ukiona products za Chuo zimeshindwa kuzaa matunda inabidi tuchukue shina au tawi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…