Kwanini RED BRIGADE Haizinduliwi Moshi na Arusha

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,056
Reaction score
1,868
Nimeona Mwenyekiti CHADEMA Taifa akizunguka mikoani kuzindua kile kinachoitwa jeshi la chama.Lakini sijamuona akienda maeneo ya Moshi na Arusha wakati huko ndo kuna wanachama wengi.

Angalizo kwa wananchi tusije tukatumika na pia hata hata vikundi vya kigaidi vilianza hivi hivi.
 

Nenda kawaulize ccm kile chakwao walikianzisha kwa malengo gani
 
wee mpuuzi ni wa kupuuzwa tu! akili zako zipo m.a.koni! na greenguard wenye bunduki wapo mkoa gani zaidi acha upumbavu basi! punga tu wewe
 
Tatizo unataka na wewe Kule Lumumba wakuone umeweka Mada hapa,Ndio maana ulichoweka hapa Ni upuuzi Mtupu!
 

rudisheni watoto wa watu nyie boko haram
 

Hujui maana ya kujenga ngome ...................... nyinyi ndiyo zile design mnajenga burglars bars chumbani kabla ya kujenga security fence nyumbani!! Kama tayari wala wanachama wa kutosha huko kwa nini bado unataka waelekeze nguvu zao huko!!??
 
Mungu wangu tusaidie ikifika kwa jamaa wale wanywa viroba.Yani hii bregadi nyekundu ni kiwanda cha majambazi
 

"Mtoto wa nyoka ni nyoka" Mhe Mizengo Pinda.
 
Mungu atuepushie na hivi vikundi vya kigaidi maana hawa ni kama panya road tu.
 
kanda ya ziwa ndio wenye uamuzi wa kumtwaa rais wa Tanzania
na huku kanda ya ziwa tumewashika vibaya
 

Subiri Nape akitoka kwenye msiba wa mzee wa msituni uende ukachukue buk7.
 

arusha karibia wote wako reg brigade sijui kama kuna haja ya kuzinduliwa labda mwisho
 
Moshi na arusha imetexgwa kwa ajili ya watumishi wa maofisini tu,kuna mikoa ambayo chadema wameitenga kwa manamba tu kama hiyo ya kuwatumia vijana kwa ulinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…