Kwanini Rav4 huota tege?

Kwanini Rav4 huota tege?

upupu

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2008
Posts
614
Reaction score
198
Wajuvi wa haya magari, hebu nijulisheni, mara nyingi nimekuwa nikiona rav 4 hasa zilizoanza kuchoka zikiwa na tege kwenye tairi, hii ni kutokana na nini? Je inarekebishika?
 
Inarekebishika kabisa. Kuna adjustment unaifanya kwenye miguu.
By the way hii ndo tunaita tilt wheels. Isipokuwa iliyopitiliza husaidia kubalance gari
 
Je haitafuni tairi upande??
 
Yanahitaji kufanyiwa wheel alignment mara kwa mara.
 
Inarekebishika kabisa. Kuna adjustment unaifanya kwenye miguu.
By the way hii ndo tunaita tilt wheels. Isipokuwa iliyopitiliza husaidia kubalance gari

Kuna Rav4 nilishawah kuiyona ipo hvyo nikaifuatilia nyuma nikamwona hasimami nikafanikiwa kuizuia gari yake kwa mbele akasimama nikamuliza vipi mbona matairi yako yanataka kuchomoka inamaana hujaya check kabla ya kuanza safari? alicho nijibu hahahaha!! nikawa mpole
 
alikujibu nini mkuu?
 
Wajuvi wa haya magari, hebu nijulisheni, mara nyingi nimekuwa nikiona rav 4 hasa zilizoanza kuchoka zikiwa na tege kwenye tairi, hii ni kutokana na nini? Je inarekebishika?
Hata HONDA CRV Nayo iko hivyo hivyo.
 
Hii ndio sababu inayonifanya nizichukie Rav4
 
Wajuvi wa haya magari, hebu nijulisheni, mara nyingi nimekuwa nikiona rav 4 hasa zilizoanza kuchoka zikiwa na tege kwenye tairi, hii ni kutokana na nini? Je inarekebishika?

Gari ni matunzo n matengenezo mimi ninatumia toka mwaka juzi napita rough road ambayo ni mbaya sana km 26 ikiwa na rasta gari haijapata matege.rav4 ni imara sana ukiona hivyo jua mwenye nayo hafanyi matengenezo
 
Hii ndio sababu inayonifanya nizichukie Rav4

Ni nzuri kama unazingatia matengenezo kuna number A ila unaiyona kama bdo mpya ila kuna hzi new model zinaninyima usingizi!
 
Wajuvi wa haya magari, hebu nijulisheni, mara nyingi nimekuwa nikiona rav 4 hasa zilizoanza kuchoka zikiwa na tege kwenye tairi, hii ni kutokana na nini? Je inarekebishika?

Sio tatizo la rav 4, ni tatizo la matunzo! Zipo gari aina nyingi tu zinapata matege kwa kukosa matunzo, na zipo rav 4 za miaka mingi sana zinazotunzwa, hazijapata matege.
 
Jamani mbona mkuu ----- jina lake liko hidden? u.pupu tusi?
 
Back
Top Bottom