They come to buy our Kigamboni Land Pia Ku exchange Uranium with Power SymbionThe cowboy from Texas was here for 3/4 days. Don't you remember?
kama amewatembelea mara zaidi ya300 halafu yeye anatembelewa mara 20 huoni kama anapuuzwa na anaowatembelea? Pia mara nyinyi hao uliowasema alipokuja hakuna programs zilizozaa matunda baada ya wao kuondoka zaidi ya kuifilisi nchi zaidi ndio maana matatizo yanazidi kila kukicha mifano thamani ya shilingi tunampita uganda ukilinganisha na dola, migodi haitusaidii mapato hayalingani na kodi tunazowatoza hii husababishwa na kutokuwa na ushawishi wa kuingia bilateral agreements zitakazo tunufaisha, angeweza kufanya kama Sata alivyofanya kwamba BOT yao ndo inafuatilia uzwaji wa madini yao sio kila mgodi kujiuzia kitakavyo kisha kutuletea mahesabu haya tutoze kodi. bidhaa feki kama kiongozi angeweza kuingia makubaliano na nchi zinzotoa hizo bidhaa kutoruhusu viwanda vyao kutuuzia substandard goods.Mmmh! Wadanganyika bana! Sasa mtu anauliza kutembelewa jaman mböna jk ametembelewa sana tena na viöngozi ambao hata nkapa hawajawaì kumtembelea wapo akina bush, rahis na pm wa india, wa china sehemu zote hz kuna viwanda mmh! Ila wadanganyika wengi tatizo lao ni ujinga, umasikini, utapiamlo, uoga, unafiki na uongo tena na ufitini... Nambien ni rais gan wa njii hii ambaaye safari zake zilikuwa na maana.. Mkapa aliuza sana nchi yetu kwa safari zake! Mwinyi vivo hvyo... aliuza loliondo si afadhari ****** hata bibi zenu, wajomba zenu wamepata vyandarua mmh maana kawa nusuru na mbu... Jaman maendeleo n mchakato.. Mathalan zito anautamani urahisi lkn tayari anazunguka huku na huko je amesaidiaje chama cha magwanda kama c unafiki 2
wa wapi ww?wanauliza marais mbona hawaji kumtembelea?huyo hillary clinton ni rais?ysije kujibu katumwaSi juzi Hillary Clinton alikuja kukagua mashamba ya mchicha pale mlandizi hamkumwona? Acheni unafiki
Umeona ndugu yangu..,ushabiki wa chama ndio upo mbele zaidi kuliko maswala ya kitaifa..,..,
Hao washkaji wawili hapo kwenye bold sifa yao kubwa ni kuwa zipu zao hazina stopa, sasa kwa mkulu sijui rank yake katika nyanja hiyo.
Wakitaka kumtembelea wanamkuta hayupo nchini
Si juzi Hillary Clinton alikuja kukagua mashamba ya mchicha pale mlandizi hamkumwona? Acheni unafiki
best yake anaekuja sana ni rais wa commoro na somalia!!
umenchekesha tehe tehe!comoro wanaimwita obama jamaa kule ni kama baba wa taifa chongo ni mfalme kwenye nchi ya vipofu,hana uzito hawezi tengeneza frofile za mtu mtu hwezi kutana na kikwete halafu akasema ,akina nyerere ndiyo hata castro alikuja hapa, wewe uliza wakenya wanamponda raisi wetu vibaya sana, rwanda wanatuona kama mazuzu
Swali zuri sana nadhani tunwshindwa kutofautisha kati ya state visit na normal visit as a person is free to travel anywhere.Alitembelea mashamba au Raisi. Labda niulize hivi je saafari ya Hilary ilikuwa ni state visit?
Mmmh! Wadanganyika bana! Sasa mtu anauliza kutembelewa jaman mböna jk ametembelewa sana tena na viöngozi ambao hata nkapa hawajawaì kumtembelea wapo akina bush, rahis na pm wa india, wa china sehemu zote hz kuna viwanda mmh! Ila wadanganyika wengi tatizo lao ni ujinga, umasikini, utapiamlo, uoga, unafiki na uongo tena na ufitini... Nambien ni rais gan wa njii hii ambaaye safari zake zilikuwa na maana.. Mkapa aliuza sana nchi yetu kwa safari zake! Mwinyi vivo hvyo... aliuza loliondo si afadhari ****** hata bibi zenu, wajomba zenu wamepata vyandarua mmh maana kawa nusuru na mbu... Jaman maendeleo n mchakato.. Mathalan zito anautamani urahisi lkn tayari anazunguka huku na huko je amesaidiaje chama cha magwanda kama c unafiki 2
nashukuru kwa ufafanuzimkapa kauza nchi kwa nani?acha ujinga yaani umchukue mkapa na jk uwalinganishe kweli,nahc wewe una utahira,na wewe ni great thinker kweli???????????,hovyooooooooooooooooooooo, jarbu kuelewa mada kabla ya kucoment
umenchekesha sana kakaKila siku hayupo, watamtembeleaje?