figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Heshima kwenu wakuu,
Naomba kujua kwanini rais wa Zanzibar hapongezi, hafurahii wala haongelei chochote kuhusu ndege zinazonunuliwa.
Je hashirikishwi?
Je, Hanufaiki nazo?
Mimi naona aibu kila ndege zinapokuja wanapiga picha watu wote Serikalini isipokuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mimi siri ya Zanzibar kutokuunga mkono juhudi za rais wetu? Au hawamtaki?
Nadhani huu ndo mwanzo, wameanza kijitenga kwenye maswala ya maendeo