Kwanini Rais wa nchi yoyote hutisha?!

Kwanini Rais wa nchi yoyote hutisha?!

Maana yangu ni kuwa;

Mfano,wapinzani hupiga kelele kweli kumpinga kiongozi wa nchi husika.Lkn na ajabu pindi wawapo jirani naye huweweseka na mwisho huishia kumpongeza kwa bashasha na furaha!

Wakati mwingine watu haohao wampingao huenda mbali zaidi na kumpamba kwa kila jema ilhali janaye walimponda kwa kila baya na ovu!

Kwa nini hali hiyo kutokea?!Au,wapinga kila kitu hao ni wanafiki?!

Rekebisha ' Headline ' yako tafadhali badala ya kusema KWANINI RAIS WA NCHI YOYOTE HUTISHA sasa sema KWANINI MARAIS WA AFRIKA HUTISHA? Tatizo la Marais wa Afrika usilijumuishe na hata Marais wa Ulaya ambao ' Upuuzi ' huu hawana na kwa ukomavu wao wa Kidemokrasia hawatokuja kuwa nao hadi dunia inapinduka.
 
Maana yangu ni kuwa;

Mfano,wapinzani hupiga kelele kweli kumpinga kiongozi wa nchi husika.Lkn na ajabu pindi wawapo jirani naye huweweseka na mwisho huishia kumpongeza kwa bashasha na furaha!

Wakati mwingine watu haohao wampingao huenda mbali zaidi na kumpamba kwa kila jema ilhali janaye walimponda kwa kila baya na ovu!

Kwa nini hali hiyo kutokea?!Au,wapinga kila kitu hao ni wanafiki?!

Angalia hii video,nadhani utabadili mawazo yako
 
img-20180712-wa0010-jpg.807781

Kama huyu ni Rais basi hawezi kumtisha mwanamme yoyote......!!
Bila ya shaka yoyote huyu kachaguliwa kwa sifa za ULIMBWENDE na siyo UONGOZI!!!
Ni rais siyo kama!
 
Angalia hii video,nadhani utabadili mawazo yako

Yeye kaandika kwa mujibu wa rais aliye naye jinsi alivyo. Sasa akiangalia huyo mdada wa Koroashia na Obama ndiye anashindwa kuelewa inakuwaje wa kwake anatisha namna hiyo
 
Maana yangu ni kuwa;

Mfano,wapinzani hupiga kelele kweli kumpinga kiongozi wa nchi husika.Lkn na ajabu pindi wawapo jirani naye huweweseka na mwisho huishia kumpongeza kwa bashasha na furaha!

Wakati mwingine watu haohao wampingao huenda mbali zaidi na kumpamba kwa kila jema ilhali janaye walimponda kwa kila baya na ovu!

Kwa nini hali hiyo kutokea?!Au,wapinga kila kitu hao ni wanafiki?!

Huwa hatishi, ila vitendea kazi vyake ndivyo vinatisha
 
Lazima wawe wenye adabu na heshima, maana kwa upande mwingine president kawazid umri, ni sawa na kaka,baba n.k
 
Back
Top Bottom