Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,697
- 164,971
Unajua kuna mambo/matukio mengi sana yanatokea nchini ambayo naamini anatakiwa mwandishi wa habari mwenye kujua kazi yake na mkongwe afanye mahojiano ya ana kwa ana na raisi ili aweze kuyatolea ufafanuzi.Kwa kuwa ni mbongo anawajua wabongo vizuri wafukunyuku sana hawako straight kama hao wa CNN NA BBC
Mbongo mpe nafasi akuhoji maswali ndo utamjua.......
Cha ajabu watakuja kumuhoji siku chache kabla ya kustaafu au hata baada ya kustaafu.