Kwanini Rais Magufuli hataki kutumbua jipu la BRELA?

wizi tuu

why haya mambo yafanywe kwa urasimu? why tupotezeane muda?

ukitaka ku search business name kama vile CRDB watakwambia lazima ufanye registration kisha utoe majina yako yote na mamba zako za sim ndio utaweza kufanya search...

Kama sio uranium nini?

NI sawa na google kukuwambia kama hula search chochote kile lazima toe private info zako ndio utaweza kufanya search.....

Evidence hii hapa

https://ors.brela.go.tz/login
 
Mtoa maada umeongea vizuri,huyo kanyusi mwadilifu sana namjua ila shida kuna jamaa wa chini yake wajanjawajanja sana,Kusajili kampuni lazima ichunguzwe ili kujiridhisha.
Kumbuka kama tulivyoingizwa mjini na kampuni za mfukoni kama Richmond, Kagoda na meremeta
 
sikubaliani ha hoja hii

ni sawa na kusema Jakaya au Magufuli ni waadilifu lakini tatizo watu wa chini yao

wao wanajua subordinates wao ni mafisadi why not hamisha them au fire them?

Kama mtu hawezi cache kazi au aondoke au apangiwe kazi nyinine
 
Brela endeleeni kukaza, watu wanataka wafungue makampuni ya mifukoni watupige sisi maskini.
na wale wajasiriamali wanaotaka kufanya kazi kihalali na kuleta ajira kwa vijana nchini nao wazuiwe? wewe utakuwa ndo wale wa KITENGO husika
 
Rais Magufuli anasema anasema serikali yake imeweka mazingira mepesi kwa watu kufanya biashara zao kihalali na walipe kodi

Lakini watu wake aliowaweka BRELA ambayo iko chini ya wizara ya Biashara wao wanaendelea kum kumhujumu

kwa kufanya urasimu usio na kichwa wala miguu na kwenda kinyume na maagizo ya Rais

Nitatoa mifano ya namna Frank Kanyusi ambaye ni mkurugenzi mkuu wa BRELA na bodi yao wanavyo mhujumu mheshimiwa Rais, serikali yake na Watanzania kwa ujumla:

1. Ukitaka kusajili kampuni jambo la kwanza utatataka kutazama kama jina la kampuni lipo au halipo mfano nataka kutumia jina la Jamiiforums....katika mazingira ya kawaida naweza kuingia kwenye mtandao wa jamiiforums na kufanya search kisha majibu yanakuja kama jina lipo au la. Lakini ukweli ni kuwa BRELA hiyo hawataki. Wanataka ufunge safari, ujaze form, kisha ulipie kiasi cha shilling elf 50 (including rushwa) kisha rudi nyumbani ukae wiki nzima kisha BAADA YA wiki nzima ufunge safari tena kufuata majibu.

Solution:
BRELA wanatakiwa kuweka kifute cha ku search business name online tena free kwa kila mtu ili kuachana na upotezaji wa muda na kukwamisha maendeleo na kufuata maagizo ya ya Mheshimiwa Rais.

2. Kwanini ichukue takriban mwezi mmoja (tena baada ya kutoa rushwa) kusajili kampuni na kupata docs zote? Kwa nini isichukue masaa walau 3? kama mtu kaweza jina , kitambulisho, na kalipia kwa nini process owe ndefu kiasi hicho?

Solution:
BRELA waweke waweke access ya ku register business online kama wanavyofanya Rwanda ambako kusajili kampuni online ni 1 hour maximum baada ya kuwasilisha vitambuisho vyote. Pia waweke access ya kufanya malice online au kupitia mobile money na mtu apish sajili ana weza kwenda ku print mwenyewe hiyo certificate of registration akitaka. Muhim ni Company number

3. Problem nyingine ni BRELA hawaruhusu watu kufanya submission ya returns online. Hii pia ni kuweka miaya ya rushwa.

Solution:
Waweke option ya mtu au agent (kama vile mhasibu) ku submit returns online ili kuongeza efficiency.

4. Hawataki kuweka records za kampuni online. Sielewi kwa nini hawataki kuweka majina, na anuani za kampuni zote zilizosajiliwa, zilizofutwa na majina ya directors na shareholders na kiasi gani wanazo hizo shares na returns na docs zote za kampuni kama articles/memorandum. Hii inapelekea kuwepo kwa hali ya sintofaham kujua who does what and who owns what.

Solution:
Records one zine online tena open kwa kila mtu kuona mfano infor kama vile:
1.Registered office address
2.Company status (kama iko active au imekufa)
3.Company type (kama ni Limited company au LLP au vinginevyo)
4.Date of incorporation
5.Pia waweke Accounts za hizo kampuni na lini accounts ziko due

Pia waweke filing history ya hiyo kampuni na vitu kama vile:
1. accounts
2. Capital
3. Confirmation statements annual returns
5. Charges
6. Officers wa hiyo kampuni (wallop na waliojiuzulu) na kama pia ni wakurugenzi wa makapuni mengine ndani ya Tanzania na majina ya hayo makampuni

Naamini kupata baadhi ya tarifa inaweza ikawa na charges kidogo (isizidi shilling elf 10)

Ukitaka kujua zaidi hebu soma hii taarifa ya world Bank inayozungumia ranking of doing business

http://www.doingbusiness.org/~/media/GIAWB/Doing Business/Documents/Fact-Sheets/DB16/FactSheet_DoingBusiness2016_SSA_Eng.pdf

zaidi soma hapa: Doing Business in Tanzania - World Bank Group

Hayo yote niliyosema hayana ugumu wowote ule ni software kuiambia ifanye nini na itafanya
Mkuu sikubaliani na wewe kwenye hili, kwanini unaweza kuuliza? Nilikuwa na mpango wa kusajili kampuni yangu binafsi, nimeenda kwenye website ya Brela. Within the website kuna sehemu ya kushajili biashara mtandaoni yani Online Business Regustration System (https://ors.brela.go.tz), hapo unaweza ku search business name, register ama kubadili jina. Mimi ilinichukua siku hiyo hiyo kusajili jina la kampuni, baada ya kulipia elfunishirini crdb kwa ajili ya jina la kampuni. Isitoshe kama una tatizo kwenye process, kuna namba za technical support 6 unaweza kupiga kupata msaada. Kw hiyo siyo kweli unachokisema hapa. Nami si mshabikinwa serikali ila kama kuna vitu vinakwenda sawa lazima tu acknowledge siyo kila wakati kupinga tu. Mods INNOVATOR , Cookie , Mhariri mleta mada ameleta habari isiyo sahihi, lengo lake silijui ni nini!
upload_2016-10-7_18-47-35.png
 
View attachment 414156

Kwenye hiyo picha tatizo langu liko hapo tena upande wa kulia

Kwa nini kufanya search iwe ume register na kulcha private info zako?

Kwa nini nijisajili kufanya simple name search?
 
Wewe huoni huyu alise aje ?

Habari, utajiri, biashara na namna ya kuwa jipu lisilotumbulika L...............U.............G ....... U...... M ............................... malizia mimi sitaki uchochezi
 
Mkuu sikubaliani na wewe kwenye hili, kwanini unaweza kuuliza? Nilikuwa na mpango wa kusajili kampuni yangu binafsi, nimeenda kwenye website ya Brela. Within the website kuna sehemu ya kushajili biashara mtandaoni yani Online Business Regustration System (https://ors.brela.go.tz), hapo unaweza ku search business name, register ama kubadili jina. Mimi ilinichukua siku hiyo hiyo kusajili jina la kampuni, baada ya kulipia elfunishirini crdb kwa ajili ya jina la kampuni. Isitoshe kama una tatizo kwenye process, kuna namba za technical support 6 unaweza kupiga kupata msaada. Kw hiyo siyo kweli unachokisema hapa. Nami si mshabikinwa serikali ila kama kuna vitu vinakwenda sawa lazima tu acknowledge siyo kila wakati kupinga tu. Mods INNOVATOR , Cookie , Mhariri mleta mada ameleta habari isiyo sahihi, lengo lake silijui ni nini!
View attachment 414156
Mkuu nakubaliana na wewe, japo ulichosajili kwa ada ya 20,000 ni jina la biashara (business name) siyo jina la kampuni maana jina la kampuni unaingia kwenye website yao unafanya company name clearance ikiwa okay unaandaa MoU & articles of Association then unawapelea for further processes.
Nilisajiri jina la biashara online na kuprint certificates in 30 minutes that was April 2016.

Mtoa mada go deep
 
Ahsante sana mleta mada. Katika vitu vimejitengeneza mfumo Wa rushwa ni hii Brela. Urasimu huu katika dunia ambayo tunahitaji kukimbizana na Uchumi ukue watu warasimishe biashara zao Ili kodi ilipwe sahihi. Kila kitu kingekuwa kifupi na online. Hata MTU kutapeliwa na mjanja Fulani akijifanya anauza madini na kampuni hewa mambo hata yangeisha maana unaingia online unajua kampuni hii inamilikiwa na nani, iko active au ni ya breafcase Lumumba, Hili ni jipu tena lakutumbuliwa haraka. Nafikiri waziri Wa viwanda angepata kiki Kwa kutumbua hili jipu haraka.

Kununua software itakayo kuwa inawaingizia pesa si uwekezaji mbaya.
 
Nimejaribu just search jina la Azam. Wanasema lazima nifanye registration kwanza why?
Nilivyoielewa, wanataka wewe u-sign up ili iwe rahisi kwako kupata feedback through account yako or email. Kazi ya name clearance inafanywa na watalaamu wa IT waliopo huko HQ baada ya wewe kuwasilisha hiyo inquiry, siyo automatic
 
Ni sawa na Google kukwambia u register na uweke private info zako ndio utafanyaje search

Doesn't make any sense
 
Back
Top Bottom