Kwanini Rais Magufuli hakuenda Davos mwaka huu?

Kwanini Rais Magufuli hakuenda Davos mwaka huu?

SPY CATCHER

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
285
Reaction score
187
Kwa miaka 10 mfululizo tulikuwa tunawakilishwa kwenye huu mkutano wa WEF rule Uswisi na Rais Jakaya Kikwete na wengine wana estimate kuwa kila trip moja ilikuwa ina chukua si chini ya billion 5 kwani akitoka Davos huelekea Addis kwenye mkutano wa AU. Na nakumbuka Mwingine ulifanyika hapa Dar ambao mpaka leo hatujapewa tathmini ya matumizi na maputo yake

Sasa cha ajabu sisi kama wananchi wa kawaida hatukupewa tathmini ya faida tulizopata kwenye hizi safari na bila kusahau kuwa serikali yetu ilijikita kwenye Open Government Initiative (OGP) kuweka taarifa za serikali wazi kwa wananchi.

Sasa kama kweli huo mkutano ambao ulikuwa unai cost nchi si chini ya billion 5 kwa nini Mtukufu Rais John Pombe Magufuli hajaenda?

Je kama nchi tumekosa nini kwa Mheshimiwa Rais kutokwenda Davos Mwaka huu?

Je kuna uwezekano kuwa huu mkutano ulikuwa hauna faida? Na ina maana kwa miaka iliyopita tulikuwa tunapoteza kiasi gani?

Video hapa Chini JK akikata Ishuz huko Davos...
 
Tunabana matumizi kwa kufuta safari za nje [HASHTAG]#lughaile[/HASHTAG] ...🙂
 
Kwa miaka 10 mfululizo tulikuwa tunawakislihwa kwenye huu mkutano wa WEF rule Uswisi. Na nakumbuka Mwingine ulifanyika hapa Dar

Sitka kuamini kuwa ule mkutano ulikuwa hauna tija kwa taifa sasa kwa nini Mheshimiwa Magufuli hajatuwakilisha mwaka huu?

Je kama nchi tumekosa nini kwa Mheshimiwa Rais kutokwenda Davos Mwaka huu?


Ulivyoandika ni kama kuna mahali aliwahi kwenda mwaka fulani...
 
Kuna mambo mawili either anaogopa kupanda ndege...,au mambo ya lugha gongana

Ova
 
...davos kunahitaji mastery ya lugha ili kuelezea hata basics za kiuchumi..ama elimu...ama afya.....mfano uhusiano kati ya utapiamlo(malnutrition) na umaskini...ama elimu duni...kama rais hayuko current na updated na mambo haya kuhusu nchi yake maskini hatoweza kwenda kuchekwa davos..the best option kwake ni kusepa....

...by the way...wala si jambo gumu kuhudhuria...ni maandalizi kidogo tu kukaa na wataalamu wako wa mambo ya uchumi...na afya...na elimu...ambayo ndiyo mambo makuu kuzungumzwa davos kuhusu nchi hizi zetu maskini....je rais wetu anakaa na wataalamu wake??...muda huo anao??....JK aliliweza hili kabla ya kwenda ng'ambo...na sasa amekua kama mwakilishi wa TZ huko....
 
Back
Top Bottom