Kwanini Rais Magufuli ameichukia Sheria ya manunuzi na ametaka maboresho ya haraka Bungeni

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,363
Rais Magufuli akifungua Bunge aliwaomba Wabunge waiangalie upya Sheria ya manunuzi ya umma.

Sheria hii imekuwa ikitumika vibaya sana kwa wataalam wa Ugavi kujipatia pesa za umma na kutoa tender kwa rushwa ktk mikataba mbalimbali na kutumia pesa nyingi kwa miradi iliyochini ya kiwango.

Mfano tumeona majengo ya hostel ya Chuo Kikuu yalivyojengwa kwa gharama zile wakati wapiga dil wangetaka kujenga hata Bil 100 au zaidi!!

Wabunge boresha Sheria hii kwa maendeleo ya Taifa si kwa manufaa ya mafisadi wachache!!
 
Back
Top Bottom