Kwanini Rais hajawapa pole Clouds?

Pole ya nini?wakati yeye anamsapoti aloyefanya so labda kesho ITV au kituo kingine yetu macho.Mimi nifunge mlango miye asije kwangu na mtutu mimi hata kisu sina na hakina mtu anayenifahamu .Mmm bibi yangu aliniambia kua mwanangu uyaone.Ila naota haya yanatokea nchi jirani jamani maana wao wana mpaka alshabab wanatembea na bunduku
 
wewe ndio unalazimisha kuelewa kile unachotaka kuelewa ata kama hakiko sawa,elewa kwanza huyo ni mkuu wa mkoa, pili muda huo ni usiku, tatu ni mtu ambaye anapambana na wauza madawa ya kulevya maana yake ameshakuwa na maadui wengi na hawezi Kutembea usiku peke yake bila ulinzi wa askari ambaye ana bunduki,nne askari haruhusiwi kumpa mtu bunduki yake amshikie ata kama anakwenda chooni pindi anapokuwa on duty. shilikisha ubongo wako wewe pamoja kuwa na vyeti vyako original lakini hauwezi kifikiria ata swala dogo kama hili?
 
Mie nimejifungia na kafuri kwangu.Hawatabiriki
 
Pole alishindwa kuwapa wanakagera walipopata tetemeko atawapa clouds? Ila anaweza maana hata pongezi anawapaga!
 
Angewapa pole kama wangevamiwa na Mwakyembe siyo Makonda
 
Aiseee, kwa ulichoandika nimeamini kweli we ni kiporo
 
nasikia kuna mutu inafukusia mtoto kabaye sasa windo limeharibika ameshindwa kutoa pole
 
Naona umeamua kuja na gia ya kuhoji vyeti vyangu...mimi sina nia ya kujibizana na wewe katika hilo. Nipo kwenye mada tu.

Hakuna ambaye anashida ya RC kuwa na ulinzi..hata akiwa nao mchana ni haki yake. Ila wewe jiulize maswali yafuatayo

Wakuu wa mikoa nchi nzima wanao huo ulinzi...na mara nyingi hutembelea studio za TV hata usiku kuhojiwa kwenye vipindi n.k. utaratibu uliozoeleka miaka yote ni kwamba askari hao hubaki nje na kumsubiri bosi wao. Hata RC wa dar ameshaenda mara nyingi clouds...askari wake wanakaa nje. Katika historia ya miaka 50+ ya nchi hii askari hawajawahi kuingia na silaha za moto kwenye kituo cha TV/radio kwasababu maana ya tendo hilo wanaijua. Je ni nini kilibadilika ijumaa? Clouds ghafla imetuhumiwa kuwa genge la uhali na kuuza madawa mpaka RC avamie kwa style ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…