Ameteua makamu wa jaji mkuu na kumwapisha. Sasa watu tunataka kujua kwanini jaji mkuu hateuliwi?
Nadhani wote mnajua jaji mkuu ana nguvu kubwa kuliko Rais yeye ndie anamshitaki Rais na akisha chaguliwa Rais hana nafasi ya kumtumbua.
Kutokuwepo kwa jaji mkuu kunafanya Rais na taasisi zake kuongoza taifa vile wapendavyo maana hakuna jaji mkuu.
Hata hali iliyopo sasa angekuwapo jaji mkuu asingefanya haya kungekuwa na kuheshimiana.
Tunataka jaji mkuu.