Kwanini Rais anazindua miradi ya kiwango cha mawaziri?

Kwa nini hakuweka yeye mwenyewe jiwe la msingi eapoti ya kimataifa Chato ?
kwa nini usiende kuweka na wewe jiwe la msingi? Hii ina maana kubwa zaidi ya fdharau, huyu ni raisi wako, MPE heshima yake hata kama humtaki. Utazidi kuumia hadi kesho.
 
Yamekuwa hayo tena ndugu yangu.?
 
Back
Top Bottom