Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,220
- 138,649
Hili ni swali fikirishi sana.
Ukiangalia miradi mingi anayoizindua Rais na kuweka majiwe ya msingi ni miradi ya kiwango cha Wakuu wa Mikoa au Waziri. Sio yote lakini mingi ni miradi ambayo angezindua Waziri tu
Kingine ni namna baadhi ya aina ya matatizo anayoyashughulikia majukwaani. Matatizo mengine ya chini sana kiasi cha kubaki kwa mkurugenzi wa halmashauri tu au hata kwa Waziri mwenye dhamana. Matatizo haya yanapomfikia Rais maana yake watu wako wa chini hawawajibiki. Na pia unawafanya wananchi wasiwaamini tena na kusubiri mpaka Rais aje
Ni hayo tu kwa leo