Hili ni swali fikirishi sana.
Ukiangalia miradi mingi anayoizindua Rais na kuweka majiwe ya msingi ni miradi ya kiwango cha Wakuu wa Mikoa au Waziri. Sio yote lakini mingi ni miradi ambayo angezindua Waziri tu
Kingine ni namna baadhi ya aina ya matatizo anayoyashughulikia majukwaani. Matatizo mengine ya chini sana kiasi cha kubaki kwa mkurugenzi wa halmashauri tu au hata kwa Waziri mwenye dhamana. Matatizo haya yanapomfikia Rais maana yake watu wako wa chini hawawajibiki. Na pia unawafanya wananchi wasiwaamini tena na kusubiri mpaka Rais aje
Ni hayo tu kwa leo
Fikiria mkuu wa nchi anaenda mwanza kuzindua daraja la watembea kwa miguu Kama la buhuruni. Ainu tupuHili ni swali fikirishi sana.
Ukiangalia miradi mingi anayoizindua Rais na kuweka majiwe ya msingi ni miradi ya kiwango cha Wakuu wa Mikoa au Waziri. Sio yote lakini mingi ni miradi ambayo angezindua Waziri tu
Kingine ni namna baadhi ya aina ya matatizo anayoyashughulikia majukwaani. Matatizo mengine ya chini sana kiasi cha kubaki kwa mkurugenzi wa halmashauri tu au hata kwa Waziri mwenye dhamana. Matatizo haya yanapomfikia Rais maana yake watu wako wa chini hawawajibiki. Na pia unawafanya wananchi wasiwaamini tena na kusubiri mpaka Rais aje
Ni hayo tu kwa leo
Niliona aibu sana kwa tukio lile !Fikiria mkuu wa nchi anaenda mwanza kuzindua daraja la watembea kwa miguu Kama la buhuruni. Ainu tupu
A president should listen to the people and obey the law sasa magufuli don't listen to the people and breaks the law and shield behind police tumuelewe kivipi.Naam 40 billions kajichotea hazina bila idhini ya Bunge eti kujenga kiwanja cha ndege chenye hadhi huko kwao wakati wasafiri wa ndege huko hawafiki hata 20! Kwa mwaka mzima! Huu ni ubadhirifu mkubwa sana wa pesa za walipa kodi.
A president should listen to the people and obey the law sasa magufuli don't listen to the people and breaks the law and shield behind police tumuelewe kivipi.
He is a disappointment to mother tanzania and a nightmare for the future of this country.This guy is a huge disaster and very dangerous for the future of our beloved country.
He is a disappointment to mother tanzania and a nightmare for the future of this country.
We should all refuse stupidity to guide us only the constitution and the rule of lawHe don’t deserve to lead our beautiful country.
Ana bana matumiziHili ni swali fikirishi sana.
Ukiangalia miradi mingi anayoizindua Rais na kuweka majiwe ya msingi ni miradi ya kiwango cha Wakuu wa Mikoa au Waziri. Sio yote lakini mingi ni miradi ambayo angezindua Waziri tu
Kingine ni namna baadhi ya aina ya matatizo anayoyashughulikia majukwaani. Matatizo mengine ya chini sana kiasi cha kubaki kwa mkurugenzi wa halmashauri tu au hata kwa Waziri mwenye dhamana. Matatizo haya yanapomfikia Rais maana yake watu wako wa chini hawawajibiki. Na pia unawafanya wananchi wasiwaamini tena na kusubiri mpaka Rais aje
Ni hayo tu kwa leo
kwako siyo viable kaa kimya. Ushamba wako ni mzigo wako, ok?Kwenye hiki lazima wananchi kupitia wabunge wapige kelele aisee..
Huyu jamaa kichwani isn't normal..
40Bil Tshs kwa airport ambayo isn't economic viable!!?
Tetesi ni kwamba yeye mwenyewe ni muoga kupanda ndege, sasa airport ya nini.
Kwa hadhi yake tu inatosha kuwa na international airport. Kwa uchumi wa eneo hili haitoshi kuwa na airport moja. Mlizoea kuinyonya lake zone mtaumia hadi mkonde. Kaa kimya Mzee achape kazi. From chato to serengeti and from chato to Gombe. Usisahau Rubondo island. Karibu East africa via Chato air port the most secure airportNaam 40 billions kajichotea hazina bila idhini ya Bunge eti kujenga kiwanja cha ndege chenye hadhi huko kwao wakati wasafiri wa ndege huko hawafiki hata 20! Kwa mwaka mzima! Huu ni ubadhirifu mkubwa sana wa pesa za walipa kodi.