TANGU LINI NYIE BAVICHA MMEANZA KUUCHUKIA UONGO? MNATAKA TUWAKUMBUSHE KILE VIONGOZI WENU WALICHOTUAMBIA KUHUSU LOWASSA?1: asiyetaka kulipa 200 na apige mbizi kuja posta. Kilichofuata kununua boti chakavu kwa mabilioni pamoja na kukusanya hiyo 200.
2: Matajiri waliishi kama malaika nitahakikisha wanaishi kama mashetani. Kilichofuta walioficha pesa wazitoe niwape maeneo wajenge viwanda.
3: Walioficha sukari wala hawazidi kumi nitawashugulikia kweli kweli. Kilichofuata TPA mpeni sukari yake Bakhiresa wala isilale leo.
4: Mafisadi wakinishinda msiniite Rais . kilichofuata wazee wangu nitawalinda.
5: Kuna watu walisafiri sana kwenda ulaya kuliko walivyosafiri kwenda kuona wazazi wao nyumbani. Kilichofuata hata Bukoba hajafika pamoja na kuwa ni karibu na nyumbani.
6: Watu watetemeke kujenga Nyumba zao wasisubiri serikali tetemeko alijaletwa na Ccm. Kilichofuata ni kuwakamata wapinzani wanaotoa misaada na kuwahoji na kuwazuia..
7: Waliofukuzwa udom ni Vila.za waende watafute vyuo size yao. Kilichofuata msinidrive msinidrive wanaohitaji msaada ni wengi, wakati huo hata dawa na chanjo hospital hakuna .
8: Wanaolalamika walizoea vya bure nitaendelea kuwashugulikia kweli kweli . kilichofuata kutoka bank kuu na bandari hali ya uchumi ni mbaya sana .
9:Nasikia kuwa watalii wanakuja na kukomea kwenye vinchi vya ajabu ajabu. Kilichofuata KDF wakapeleka misaada kagera kabla hata ya Serikali kufika.
10: Ningelikuwa Mimi ningeliwapoteza karibu nusu yao . kilichofuata bado tunakisubiri kama anaweza au laa.
Kuweka matumaini kwa kiongozi kinyonga kama huyu inaitaji moyo wa chuma ..
Alafu ndio eti anatupeleka kwenye serikali ya viwanda sitaki hata kuamini ..
View attachment 424404
Message sent and delivered!Weeeeeeeeeee Kinyonga upogo
Mwenyekiti CCM JF
Juma ponda Mali malaika hajui anacho sema hatutaki misaada nchi tajiri Leo bila ya aibu anamuomba maskini amsaidie keshasahau kua nchi ni tajiri
Hajamwita muongo bali amethibitisha kuwa ni muongoWho are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Pasco
Nikipata, kila mwalimu nitampa laptop na milioni hamsini kwa kila kijiji.Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Pasco
Kwa lipi?Jiandae kung'olewa kucha kwa uchochezi despite the fact ...
[emoji637] [emoji811] [emoji640]Acheni kulalamikia vitu ambavyo mtakatifu mtukufu hakuahidi jamani.. Wapinzani hamna hoja kabisa
Mkuu umenifanya niangue kicheko japo ulichokisema ni kweli.Tuweke pembeni unafiki Magufuri ni muongo balaa yani
anapapara hashiki jambo moja ana hili ana lile yani ni shidah
Pasco kwa kasi hii unayoenda nayo nitashangaa kama utatoka kapa kwenye hii serikali,na ukikosa hata ka ukurungenzi nenda kwa babuWho are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Pasco
Ila ni vema kuvumilia ahadi hewa hebu tuwe wakweli jamani remember rais ni mtu pia anapitiwa lkn co kwa orodha yote ya pasco kapitiwa tuwe wakweliSi vema kumuita Rais muongo.
Mbona umekuwa mkali kiasi hicho kwani kakosea nini mleta mada?Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee kumuita rais ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais muongo, ahadi zote zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Nitatoa salary slip nikitoka chatoWho are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee kumuita rais ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais muongo, ahadi zote zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zitakuwa zimekamilika.
Pasco