Kwanini Rais anatudanganya?

Si vema kusema Rais muongo.
 

Ongezea ya 11.
11. Fyatueni(zaeni) watoto tani yenu Serikali ya Magufuli itawasomesha bure.
Leo watotonaa vyuo vikuu waliopata mikopo hawafiki hata 25% ya waliofanyiwa udahili!

Ni bahati mbaya sana Watz mmechaguliwa Rais adiye na vision,asiye na priority,asiye na upendo,roho mbaya ns mkuda.
If you read between the lines ya matamshi yake unaona kabisa hana nia na hana mpango a kuona maisha ya watu yanakuwa bora baali anataka watu waishibkama MASHETANI ndani ya nchi yao.
Rais anayewaambia Wahanga wa Tetemeko la ardhi Kagera wajisaidie wenyewe huku akichangisha michango ni hatari sana!
CCM lazima wajifikirie mara 2 kama huyu ni Rais waliyekusudia au ilikuwa ni mihemko tu!
 
Pumzi imekata naona, hamna hoja mpya??? Mbona mnarudia rudia zile zile?? Naona mmebanwa penyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…