Kwanini Rais anatudanganya?

Acha uchochezi braza watu wanajitolea kwa nguvu zao unakuja na maneno yako ya chooni.angalia sana upo huru lakini heshimu mipaka
 
M Mmmh!ngoja tusubiri kama atatimiza ahadi zake kweli kama inavyosemwa.
 
M
Mmmh!ngoja tusubiri kama atatimiza ahadi zake kweli kama inavyosemwa.
Kama wote tutasubiri tuu ili tuone kama atatimiza, tutasubiri sana, hivyo hoja sio kusubiri tuu bali kushiriki katika utekelezaji. It can only be done if everybody will play his part!.

Paskali
 
Pasco na wewe unataka ukurugenzi wa habari pale kwa mkulu? Kazi ndogo tu kamfungie Jesca kamba za viatu kama yule chizi wa Dar kwa Liziwani
 
kumekucha,mpira haujaanza,marefa wamegoma kuingia uwanjani
 
Mtaendesha propaganda mtandaoni ila mwisho wa siku mtafanya kazi tu hamna namna nyingine rais ni jpm kwisha kazi wapiga dili hamna namna safari hii
 
Hivi [emoji83] amekusahaw Kwenye ukuu wa kata?
 
Pasco
Ulidhani wanawainchi hawaweki kumbukumbu vichwani kwa anayoimba jamaa[emoji83] yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…