motivation
Member
- Feb 17, 2019
- 90
- 50
Wanambeya wana haki zote kuwa na raisi wa nchi kwa siku hizo ambazo bado hazitoshi. Mby inasemwa vibaya siku zote kuhusu uongozi wa juu wa nchi wakisema watu wa mby ni jeuri na wagomvi. Kumeenda shwari na hata yeye amekiri kuipenda mby na watu wake as usual. Kuwapo kwaje watu wa mby wamefaidi offer nyingi za kimaendeleo na wamehamasika sana. Mby ni mkoa mmojawapo ktk ile mikoa michache ambayo inajiongeza inapopewa constructive support. Aongeze hata wiki mbili zaidi mtaona positive impact kutokana na ziara hiyo. Mmecheza na wa kucheza nao (Kwa sauti na tafsiri ya Kinyakyusa).
Mbona alikuwa anazunguka na ulinzi mkubwa sijapata kuona TANZANIA.