Utakuta wewe hapo una mke na watoto labda hata wake unao na michepuko juu. Na baba yako asingekuwa na mama yako usingeonekana kabisa. Watu kwa unafiki hamjambo.Baada ya ku study kile kilichomkost samsoni
Mfalme daudi ....ndipo akaona Mwanamke ni kiumbe hatari
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Putin ana mabinti wawili.Utakuta wewe hapo una mke na watoto labda hata wake unao na michepuko juu. Na baba yako asingekuwa na mama yako usingeonekana kabisa. Watu kwa unafiki hamjambo.
Putin hayo ni madhaifu yake tu na wala sio cha kumsifia.
kuna raha sana kuwa single, unatunza energy
kwani wewe umeamua kuoa? au kuolewa?
Utakapo baka na kutiwa ndani au ukibeba gonjwa la zinaa,ndipo utapojua kuoa au kuolewa ni raha sana na unakua huru.Ni vile tunafuata maelekezo ya vitabu vya dini ila u bachelor una raha mno.
Kwamba ukioa or kuolewa hupati magonjwa ya zinaa?Utakapo baka na kutiwa ndani au ukibeba gonjwa la zinaa,ndipo utapojua kuoa au kuolewa ni raha sana na unakua huru.
Kwani wafungwa na wanafunzi wa shule za single wanaishije basi na yeye ni hivyohivyo mahusiano sio basic need kwamba ukikosa utakufa😂😂Anaishije tangu 2015?