Kwanini Prof Ndulu anapaswa kujiuzulu?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,618
12,283
Ifike mahali wasomi na wanazuoni wakae chini nakutathimini utendaji wa huyu bwana mkubwa. Kipindi chake kumekuwa na mambo mengi ambayo Yana lets giza nene ktk uchumi wetu.
Jambo la kwanza nikitendo chakuruhusu makampuni ya sim kufanya biashara ya pesa mambo ambalo limeyaumiza Sana mabank
Uwepo wa skendo ktk uwendeshaji wa ma bank like fbme bank
Sera mbovu ktk uendeshaji wa ma bank jambo linafanya mabank Ku face high cost kwenye uendeshaji wa ma bank
Zoezi la Kyc nalo Ni giza nene ktk ma bank mengi
Msaada wake ktk uchumi sioni ila majanga mbeleni
 
Na PIA anashindwa hata kuwashawishi MABENK kupunguza RIBA zao ili watu TUKOPE zaidi .Amekaa tu ila nafikiri HANA muda zaidi ya Miaka MIWILI ataondolewa tu.
 
Ifike mahali wasomi na wanazuoni wakae chini nakutathimini utendaji wa huyu bwana mkubwa. Kipindi chake kumekuwa na mambo mengi ambayo Yana lets giza nene ktk uchumi wetu.
Jambo la kwanza nikitendo chakuruhusu makampuni ya sim kufanya biashara ya pesa mambo ambalo limeyaumiza Sana mabank
Uwepo wa skendo ktk uwendeshaji wa ma bank like fbme bank
Sera mbovu ktk uendeshaji wa ma bank jambo linafanya mabank Ku face high cost kwenye uendeshaji wa ma bank
Zoezi la Kyc nalo Ni giza nene ktk ma bank mengi
Msaada wake ktk uchumi sioni ila majanga mbeleni
Umeandika nini sasa mbona sioni hoja hapa!!
 
Muons daktari haraka!
 
nafikiri kaona anapewa maagizo yasiokua ya faida kwa wananchi, anaona hata akiondoka poa tu, maana naona serkali hii hata ukisema ukweli unaonekana msariti.
 
Hahahaaha wabunge wenu wa CCM wapitishe pumba wao huko Halafu mnamsingizia Ndulu? Hahahahaha Ndio faida ya kuwa na wabunge vilazaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom