johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,977
Nimejiuliza sana kwamba Rais anakuamini na kukuteua halafu ukishaapa wakati wa kutoa shukrani unasema "........nashukuru kwa kuniteua/kuniamini na kuniteua mimi nisiyestahili"
Je, hii ni dalili ya kuonyesha unyenyekevu uliotukuka au kupungukiwa na ujasiri na kutojiamini?
Aah najiuliza tu waungwana huyu ni mzee wangu wa Kanisa labda yuko kiimani zaidi
Maendeleo hayana vyama!
Je, hii ni dalili ya kuonyesha unyenyekevu uliotukuka au kupungukiwa na ujasiri na kutojiamini?
Aah najiuliza tu waungwana huyu ni mzee wangu wa Kanisa labda yuko kiimani zaidi
Maendeleo hayana vyama!