Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
Mkataba ukiisha sio lazima kuongezwa!
Me nashangaa jamaa anakuja tu hapa anaropoka, eti Baregu kanyimwa mkataba, bila kujua A, B, Cs. Tatizo wabongo tumezoea tetesi, jamaa yupo SABATICAL.Basi wanazusha kanyimwa mkataba.It is a new story to hear this. Kwani yeye si alikuwa anaundisha hapo na kaenda sebatical leave? Akirudi nyumbani mtu aliyekwenda kuongeza uzoefnchi za mbali anakataliwaje kupewa kiti chake?
Siasa au?
Kwahiyo alianza na PhD then akawa Prof. Hajawahi kuwa na Bachelor na master degree?Prof Baregu ana PhD kutoka Stanford
lol.
Acha uongo, nani Kanyimwa ku renew, kama ni Baregu yupo SABATICAL. Au hujui maana ya SABATICAL?Ni kweli mkataba ukiisha sio lazima kuongezwa lakini mbona wanaonyimwa nafasi za kurenew ni wanaotoka upinzani tu?mbona wanotumikia chama chenu cha mafisadi hawanyimwi?acha ushabiki....ebo!huna hata ubinadamu.
Tatizo hawa watu wenye itikadi za Uchama hapa, kila kitu wanadhani vipo kichamachama tu. Hawana data basi wanaweka speculation eti kanyimwa ku renew mkataba. Bila hata kujua jamaa ka staaf then anaenda kajilikizo.Kwahiyo alianza na PhD then akawa Prof. Hajawahi kuwa na Bachelor na master degree?
Acha uongo, nani Kanyimwa ku renew, kama ni Baregu yupo SABATICAL. Au hujui maana ya SABATICAL?
wataje wote walionyiwa ku renew,TUSIPENDE KUSEMA MANENO BILA UHAKIKA.
Tatizo hawa watu wenye itikadi za Uchama hapa, kila kitu wanadhani vipo kichamachama tu. Hawana data basi wanaweka speculation eti kanyimwa ku renew mkataba. Bila hata kujua jamaa ka staaf then anaenda kajilikizo.
Acha uongo, nani Kanyimwa ku renew, kama ni Baregu yupo SABATICAL. Au hujui maana ya SABATICAL?
wataje wote walionyiwa ku renew,TUSIPENDE KUSEMA MANENO BILA UHAKIKA.
Wakuu, naombeni tusilipoliticise suala la Prof. Beregu, kama kastaafu na anaendeleaa kwa mkataba, its just a favour, don't turn a favour into right. Mwajiri ana haki ya kusema asante imetosha, kama suala la Dr. Rashid wa Tanesco, mwajiri serikali imekubali inatosha, ikaitangaza nafasi yake.
Msitake kuisingizia Chadema, mbona Dr. Mvungi ni NCCR na aligombea urais, kakosa, karudi chuo na bado ni NCCR?.
Mbona wako wahadhiri ni mwiba mkali kwa serikali na wanavumiliwa?. I think its high time, Beregu akubali yaishe, aondoke kama kina Shivji, heshima yake itabaki kuwa juu, kuliko kutaka kuendelea kuvuta shuka ilhali kumekucha na muda wake ni tayari kumekuchwa.
Ila pia lazima tukubali Prof. Mukandala kaukwaa uVC kama asante kwa kazi nzuri ya Redet inavyowafanyia CCM. Kama umepata post kwa favour, lazima umaintain status quo. Msimlaumu Mkandala, "Ukiaminiwa, jiaminishe".
Wako wanaokumbuka Daruso ikiwa mwiba kwa Serikali, ni kina Mwikabe walioi ccmmsha Daruso na kuifanya kama tawi la CCM japo leo wako upinzani, hizi njaa zitatuuwa bure!.
Jamaa yupo SABATICAL JAMANI hajanyimwa kuongeza mkataba, ni the same as Shivji. Mbona tunakua wagum kuelewa?
Oooh yes, naweza nisieleweke now, lakini nikaeleweka later...tatizo nyie mna rely source ya waandishi wa habari....ila kwa taarifa ambazo me ninazo jamaa ameamua kupumzika for one yr....Mnapenda sana ku weka issue za UCHADEMA na U CCM..though haiwezi kukwepeka ila mnakua too much.Nimekubali wewe kweli ni "Semenya". Hueleweki-eleweki!!!!
Oooh yes, naweza nisieleweke now, lakini nikaeleweka later...tatizo nyie mna rely source ya waandishi wa habari....ila kwa taarifa ambazo me ninazo jamaa ameamua kupumzika for one yr....Mnapenda sana ku weka issue za UCHADEMA na U CCM..though haiwezi kukwepeka ila mnakua too much.
Me simsikilizi katibu wa chama bwa mdogo, nakupa data za muhusika mwenyewe...navyojua huyo katibu wenu wa CHADEMA hamshikilii maisha baregu na si msemaji wa baregu.Prof. Baregu ni mwanachama wa CHADEMA. CHADEMA hao hao ndio wametoa taarifa hii hapa:
"Wakati huo huo, chama hicho kimelaani taarifa ya uamuzi wa serikali kwa kushirikiana na Baraza la Wadhamini wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wa kukataa kuongeza mkataba wa aliyekuwa Mhadhiri Mwandamizi chuoni hapo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Profesa Mwesiga Baregu".
Sasa ndugu yangu wewe unasisitiza ameamua kupumzika kwa mwaka mmoja wakati katibu wa chama chake analalamikia uamuzi wa serikali....
Kazi kweli kweli.