Akilimali22
Senior Member
- Jun 7, 2015
- 168
- 90
Ikiwa tuna Hospitali za mikoa na rufaa na magari ya hospital yapo kwanini Polisi wabebe maiti?
Utakuta kuna matukio mengi tu yanatokea ikiwa mauaji, ajali au maiti zilizotelekezwa njiani na majumbani kwanza wataitwa Polisi. Kwanini Polisi nao wasi link na hospital waje pamoja?
Sababu:
Polisi sio wataalam wa afya sasa wanabebaje maiti kwenye gari ambayo baadae wanalitumia kubeba wahalifu hapo suala la afya limekaaje?
Zipo maiti zinabebwa zikiwa zimeharibika nyingine zinavuja damu.
Wataalam wa afya tushaurini humu na mshauri mfumo wa POLISI na hospital kufa ya kazi pamoja katika suala la kubeba miili ilioripotiwa Polisi.
Sent using Jamii Forums mobile app