swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,251
- 1,467
Hawa jamaa wa TASAF wanagawa misaada kwa wazee eti wasiojiweza na kaya masikini sasa hivi.
Nilicho note ni kwamba wanagawa maeneo ambayo CCM hali ya wapiga kura au upepo wa kisiasa siyo mzuri.
Wameanzia Mtwara na sasa wamehamia Mwanza takribani wiki mbili zilizopita.
Hivi ratiba ya ugawaji wa hizi pesa ukoje.
Mwaka jana katika uchaguzi wa Wenyeviti Serikali iligawa mahindi siku mbili kabla uchaguzi na hiyo program haijarudia tena.
Je hawa wasiojiweza wanakula wakati wa kampeni tu?