Kwanini Padre hatoi sadaka kanisani?

Wewe ni muongo na una chuki zako binafsi za kidini!
Hata kama ni kweli padre alikuhonga una sababu gani za kutangaza we vunga uliwe vizuri uendelee kukusanya maokoto yako
Usinizibe mdomo, lazima niseme Padre wanahonga tena pakubwaaa, na wewe jaribu [emoji3]
 
Sawa, hiyo ni kwa RC kwa upande wa SDA, wachungaji wanatoa sadaka kama watu wengine.

+ Fungu la 10
 
Ukkristo sio dini
 
Wakristo mmekatazwa kuabudia masanamu
 

Attachments

  • Screenshot_20230927-171416.png
    18.9 KB · Views: 19
Duh kumbe kuna maombi ya kulala kifudifudi kwa mmaskofu then mnapakwa mafuta??
Kuna dini zingine zinamambo ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…