Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]umenifurahisha sanaKwa nini Rais halipi kodi?
Hilo ndio jibu lake
sijaelewa rudia tena kujibu, samahani
Mambo?sijaelewa rudia tena kujibu, samahani
Ulishapitiwa? Siku nyingine waulize utuletee majibu wapi wanatoa hela.+Mbona wanahonga sana?
Hela wanatoa wapi?
PoaMambo?
Wanatoa kwenye sadaka zenu wauminiUlishapitiwa? Siku nyingine waulize utuletee majibu wapi wanatoa hela.+
Haya sawa
sikuelew ujue au nilijibu tofaut?Haya sawa
Hapana,umejibu poa. Ndiyo nasema haya sawa mkuusikuelew ujue au nilijibu tofaut?
Hpn acha umbea Seema umepeeana Kia's gani na padri wako acha kujifanya mjuajiMwanaume kutaka kujua kiwango anachohongwa mwanamke na mwanaume mwenzake hiyo ni dalili mbaya sana... ndio maana jinsi tata zinaongezeka
Itakuwa hujasoma bandiko la mleta mada maana yeye ndiyo kawataja na mimi ndiyo nikamjibu kuwa hao walawi nao waliagizwa pia watoe zaka na sadaka kutoka kwa vile walivyoletewa na waisraeli woteSasa mkuu mambo ya walawi yanaingiaje kwa mapadri wetu
Au na sisi ni walawi
Kwani mapadri wao hawalipwi?Sasa hapo hauoni kuwa walawi huwa wanachukua zaka kutoka mikononi mwa waisrael?
Nimekuuliza juu ya hicho ulicho quoteKwani mapadri wao hawalipwi?
Wewe ni muongo na una chuki zako binafsi za kidini!Wanatoa kwenye sadaka zenu waumini
haya uwe na asubuhi njema...Hapana,umejibu poa. Ndiyo nasema haya sawa mkuu